Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema apelekwa mahabusu

lazima kuna sababu,kukosa mdhamana kwa mtu kama lema hapa arusha ni kama kukosa bidhaa ya bakhressa dar,ma-don wa tanzanite wangeweza kuchanga hata kama wangetaka kabillioni cha haraka....hizi ni siasa tu za bongo...mwaka huu mtakoma...hatubadiliki ng'o!!!
 
Du!hii ni kali!ila haya yote yana mwisho wake,nadhani Arusha hapana utulivu kwa sasa
 
you need some crazy guy to show up at some stage to turn around the fortunes of this otherwise blessed nation.
this reminds me of one crazy guy nelson mandela who was branded a terrosrist and jailed, only to become a world political icon decades later!

lema (& co) could be that guy for here...........
 
lazima kuna sababu,kukosa mdhamana kwa mtu kama lema hapa arusha ni kama kukosa bidhaa ya bakhressa dar,ma-don wa tanzanite wangeweza kuchanga hata kama wangetaka kabillioni cha haraka....hizi ni siasa tu za bongo...mwaka huu mtakoma...hatubadiliki ng'o!!!

Msome Lema analo jibu kwa fikra zako

Leo nitakwenda jela kwa hiari yangu binafsi kwa siku kadhaa na si kwa NIA YA KUJITAFUTIA UTUKUFU WANGU bali ," JELA NI MAHALI PA KUISHI KAMA SABABU YA KWENDA HUKO NI VITA DHIDI YA UONEVU, UKANDAMIZAJI WA HAKI NA UTU WA BINADAMU.
 
mambo mengine bwana, huyu bwana mdogo kupenda sifa na kuwatumia maley man wa arusha ndio nn?

watu wamekuchagua kwa kutaraji maendeleo lkn kila ucho ww na scandal za kijinga kwa nn ?

jifunze bwana mdogo kuendesha siasa za kistaarabu hebu waangalie wenzio wa chama chako mbona hawako kama ww ? au ww tu ndio shujaa na unaonewa ?
Watu wakishafanana wanakuwa WAFU!!!
Chadema hakuna wafu!! CCM wamefanana...........wafu wote.
 
Huu ni usanii wa kijinga na ambao hauna tija. Lema anaonekana kama kituko sasa. Upuuzi mtupu!
Lema ni kati ya Wabunge vilaza waliowahi kutokea katika Historia ya Bunge la Tanzania.
Watu huwa hawapiganii haki kwa njia anazozitumia.
 
tatizo hana Elimu kichwani, sifa zitamponza. Ajaribu kujifunza kwa Zitto.

Kwani mkuu wewe una kiwango gani cha elimu? Na hata kama unayo elimu lakini kama uwezo wako wa kutambua na kufahamu umeishia kuwa kuwadi na kibaraka wa mafisadi basi hiyo elimu ni elimu mfu, huna faida yoyote hapa dunia labda kuzimu.
 
Kuna ukombozi wa nchi kweli,,leo miaka hamsini lakini bado tunahangaika na umeme, maji, barabara, mahospitali n.k,,tuna uhakika gani kama chadema watashughulikia maendeleo ya nchi,,,au ufisadi utaendelea????

Acha kuwa na fikra mgando ndugu yangu pia kuwa na utayari wa kuthubutu na kutokuogopa risk iliyoko mbele yako huwezi pata maendeleo hata ya biashara ya kuuza nyanya. Tunaitaji watu wenye mtazamo mpya na mlengo mwingine wa kuleta maendeleo hata kama tukiwakabidhi na wakashindwa kwani hata wao sio malaika lakini tutakuwa tumejaribu na kuthubutu kufanya lile linaloonekana kuwa haliwezekaniki.

Nchi nyingi zilizoendelea duniani zimeendelea kwa kuwabadili wanasiasa kila baada ya kipindi fulani ili kuleta changamoto mpya za kifikra, kimtazamo na kiuongozi ambazo ndizo hasa changamoto ya maendeleo ya taifa na wananchi kwa ujumla. Watanzania wengi wamepoteza imani na ccm hivyo hata kama akishuka malaika toka mbinguni leo na kuihubiri ccm bado itakuwa na kumpigia mbuzi gitaa acheze muziki. "USIOGOPE MABADILIKO"
 
mambo mengine bwana, huyu bwana mdogo kupenda sifa na kuwatumia maley man wa arusha ndio nn?

watu wamekuchagua kwa kutaraji maendeleo lkn kila ucho ww na scandal za kijinga kwa nn ?

jifunze bwana mdogo kuendesha siasa za kistaarabu hebu waangalie wenzio wa chama chako mbona hawako kama ww ? au ww tu ndio shujaa na unaonewa ?

Ujumbe umefika mkuu....
 
you need some crazy guy to show up at some stage to turn around the fortunes of this otherwise blessed nation.
this reminds me of one crazy guy nelson mandela who was branded a terrosrist and jailed, only to become a world political icon decades later!

lema (& co) could be that guy for here...........
tell these ******.......mandela and ANC legenda were banned to enter US by terrorist law........more of racial.... ..
Makenge wa CCMhumu hawajui kitu....manina za jumla.
 
wewe ndio kenge kweli wewe...hata gamba huna!! unateleza kama used condom...

Unajua maana ya kukataa uhuru fake wewe?? ina maana gani kukubali kuwa huru huku unanyanyaswa?

JF inaharibiwa na wavuta bangi. Acha bangi ili uweze kushindana kwa hoja.
 
Lema kweli chuma, kila siku wanamtisha na jela sasa leo kawaambia dhamana sitaki naenda huko jela mnakonitishia ili siku nyingine watafute kitisho kingine sio jela. NIMEKUPENDA LEMA.
 
Sifa za kijinga zitamuumbua huyu jamaa. Huo waraka ameuandaa saa ngapi, au alikuwa anajua kuwa atakosa mdhamini?.
Hvi hapo unahitaji siku ngapi kuandaa hako ka waraka? vilaza wa CCM mnachefua sana, hapo umepigwa ka-computer kozi ka-wiki kadhaa kwa ajili ya ku-log in kwenye Jf naku-type wanachotaka mabwana.
 
Wale mlionitishia kunipeleka jela sasa nimetangulia kwa hiari yangu na wale mliobaki msiogope jela endeleeni kupigania ukombozi utakaoleta usawa katika nchi yenu.

Mhe Godbless Lema (MB) – Arusha Mjini 31 Oktoba 2011.

wengine mnaweza kudownloadView attachment 40340

kwa maneno hayo hapo juu ni wazi kuwa jamaa hakwenda gerezani kwa kukosa dhamana bali kwa ridhaa yake mwenyewe ili akazidi kujifunza na kujiweka tayari kwa vita kwani vita vya ukombozi ndo kwanza vinaanza na wala sidhani kama amefanya hivi ili kutafuta sifa kama Ant-Lema wengi wanavyojaribu kudraw attention ya watu.
 
Mimi naamini kabisa wangekuwapo Wabunge wa CDM kumi kama Lema, magamba wangechanganyikiwa ile mbaya.

Kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu, ukombozi wowore ule huanzishwa na watu crazy kama hawa.
 
Lema ni kati ya Wabunge vilaza waliowahi kutokea katika Historia ya Bunge la Tanzania.
Watu huwa hawapiganii haki kwa njia anazozitumia.
Hizi mbwembe zingine bwana... Siasa za utoto.

Ngoja akakutane na wezi wenzake wa magari huko ndani.

Sifa za kijinga zitamuumbua huyu jamaa. Huo waraka ameuandaa saa ngapi, au alikuwa anajua kuwa atakosa mdhamini?.

Huu ni usanii wa kijinga na ambao hauna tija. Lema anaonekana kama kituko sasa. Upuuzi mtupu!
Nyie wote na wengine wa sampuli yenu Lema alijua mtakuwepo alijianda na ameshawajibu, hakukosa mdhamini hata wa kuweka hati za nyumba kumi lakini alitaka kuwaonyesha nyie na Zuberi aliyemtishia jela kuwa jela ni sehemu ya kila mtu kuna waliokuwa marais leo wako jela (Mubarak), kama mnafikiri ni mpuuzi someni hapa...
Watakaotubeza na kututukana wasameheni kwani wanahitaji ukombozi wa fikra, watakaotupongeza na kutuonea huruma wafundisheni ujasiri na waambieni mapambano bado yanaendelea tunahitaji umoja wao. Nitarudi mapema. MSIOGOPE, MSIOGOPE, MSIOGOPE , MUNGU YUPO UPANDE WETU.

Mhe Godbless Lema (MB) – Arusha Mjini 31 Oktoba 2011.
 
manina za jumla!!
what else do you have the i,diots of this time.
Na wewe unausapot upuuzi anaoufanya mbunge wako?
Ulishawahi kusikia Zitto au Mnyika akifanya mambo ya kijinga kama haya.
We have to admit, Lema bado ni mtoto na ana mambo ya kitoto. Angetafuta ushauri kwa waliomtangulia.
By then chadema ni ni kama gari bovu...linajiendea tu
 
Sifa za kijinga zitamuumbua huyu jamaa. Huo waraka ameuandaa saa ngapi, au alikuwa anajua kuwa atakosa mdhamini?.

Mzee mjinga' jamaa ameamua kwenda mwenyewe,we endelea na mawazo yako mgando!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom