‪Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema akamatwa na Polisi kwa madai ya kuzidisha muda wa mkutano‬

mm sio mwanasiasa lakini najiuliza tu.....hv polisi watawezaje kuthibitisha kuwa lema alizidisha muda mahakama??
 
Hawa ma DC Mbona wana muaibisha sana Rais magufuli amewaamini kawapa madaraka lakini wana fanya jina lake litukanwe na kukashifiwa kila siku kutokana na akili zao zilivyo sijui kwanini wana mtukanisha na kumtilia aibu rais kila uchwao na hapo ndipo upinzani hujichukulia point ni aibu kuitwa mwana wa nchi hii.
Unafikiri hao ma DC wanafanya hivyoo bila go ahead ya mzee?
 
Tangia wameanza kamata weka ndani Upinzani wamefaidika na nini cha maana ambacho wanaweza kujivunia aibu sana
 
upinzani tatizo mmekuwa kondoo mno. kwa nini msikinukishe? kwani watu hufa mara mbili?
Wapinzani ni nani?Wewe kama unaguswa na uonevu wowote waambie wasikie?Ninachojua,mambo haya huenda yanafanyika kwa sababu maalum!Mungu anataka tujifunze jambo fulani!Aliufanya mgumu moyo wa Farao lakini mwisho alimpiga yeye mwenyewe.Tuombe Mungu tu kwani yeye pekee anajua tutatokea wapi!Zaidi hatuna sababu ya kupigana vita vya kinjekitile wakati tunajua matokeo yake.Tusimame katika zamu yetu,Mungu atajibu kwa wakati wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari kama mtu hatii sheria.. mnapenda kuona yanawatokea wananchi na kuwa wapinzani hampiganii zaidi ya kuvizia matamko ya serikali kutafuta kiki.

Sasa mtanyooka tu hadi muelewe kuwa kuna sheria na inabidi kuzitii.

Awamu hii kila mtu atanyooka.. bora mjifunze kuacha ugangwe hata tuwaone mnasaidia kuleta maendeleo ya wananchi.
Mkuu siyo kila kitu cha kutetea tunamuharibia sifa Rais wetu. Kuzidisha dakika 7 siyo kwa kushikiliwa hivyo na polisi.
 
Ifike pahala tuingiwe hata na soni..

Hii ni aibu!
Njia pekee ni chadema kupanda ndege waende UN na mahakama ya Uhalifu na haki za binadamu The Hague wakaishitaki serikali ya Tanzania kinyume na hapo Wapinzani wote watafungwa makusudi kwa kukomoana mpaka waishe
 
Back
Top Bottom