Mbona zina vunjwa sana na babs JesicaKwa hiyo unapenda sheria za nchi zivunjwe vunjwe tuu.. kwa nini watu hawafuati sheria..ujingaa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona zina vunjwa sana na babs JesicaKwa hiyo unapenda sheria za nchi zivunjwe vunjwe tuu.. kwa nini watu hawafuati sheria..ujingaa..
Hivi toka huyu jamaa kawa rais ni maendeleo gani Tanzania inayo au kati ya mtu mmoja? Uwezo kujikimu hata mm nipataye gross ya 2.5mil unashuka kila kukicha.Habari kama mtu hatii sheria.. mnapenda kuona yanawatokea wananchi na kuwa wapinzani hampiganii zaidi ya kuvizia matamko ya serikali kutafuta kiki.
Sasa mtanyooka tu hadi muelewe kuwa kuna sheria na inabidi kuzitii.
Awamu hii kila mtu atanyooka.. bora mjifunze kuacha ugangwe hata tuwaone mnasaidia kuleta maendeleo ya wananchi.
he is a lost case badala ya kuongeza uchumi wa nchi yeye anapambana na chadema alitegemea kukataza maandamano mikutano chama kitakufa ndio maana anaona hata wale waliokuwa sio wapenzi wa chadema sasa ndio wanakuwaHivi toka huyu jamaa kawa rais ni maendeleo gani Tanzania inayo au kati ya mtu mmoja? Uwezo kujikimu hata mm nipataye gross ya 2.5mil unashuka kila kukicha.
Logical thinkers mtateseka sana kipindi hiki....simply someni alama za nyakati....binafsi kimsingi nimeacha kufikiri logically...Hizi dakika 7 zimechelewesha sana ujenzi wa viwanda.
Lema akikaa jela masaa 24 vitajengeka viwanda 100 upesi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kawaida yako. Umechangia kwa hisia.Habari kama mtu hatii sheria.. mnapenda kuona yanawatokea wananchi na kuwa wapinzani hampiganii zaidi ya kuvizia matamko ya serikali kutafuta kiki.
Sasa mtanyooka tu hadi muelewe kuwa kuna sheria na inabidi kuzitii.
Awamu hii kila mtu atanyooka.. bora mjifunze kuacha ugangwe hata tuwaone mnasaidia kuleta maendeleo ya wananchi.
Kama kawaida yako. Umechangia kwa hisia.
Mimi sio shabiki. Na kukamatwa kwa Lema si kosa. Utaratibu wa kumkamata ndo Haukuwa sahihi. Wangemwambia kesho akaripoti saa 2 asubuhi polisi.Ha ha ha haaaaaa
Kwani vipeeeeeee eti kawaida yangu eeeeeh. Angekuwa mwananchi kakamatwa mngeshangilia na kuwasifia polisi kwa jinsi ushabiki wenu ulivyo.
Wanamuaibisha vipi wakati hayo ni maagizo yake?Hawa ma DC Mbona wana muaibisha sana Rais magufuli amewaamini kawapa madaraka lakini wana fanya jina lake litukanwe na kukashifiwa kila siku kutokana na akili zao zilivyo sijui kwanini wana mtukanisha na kumtilia aibu rais kila uchwao na hapo ndipo upinzani hujichukulia point ni aibu kuitwa mwana wa nchi hii.