Awamu hii tutaona maajabu, nchi inatakiwa majimbo mengine yajitenge, akili zetu zinazidi kuwa ndogo kwa kuwa na watu wa mipasho. Kumbuka visasi havileti maendeleo, sasa ndio nimeamini kwa nini mkoloni hakujenga shule usukumani na umakondeniKuzingatia MUDA.
Jipige vibao vya uso kama kulia umeshindwa ili ulie.
You only need 4 minutes without oxygen to die...7 minutes is more than enough![/QUOTE Sasa tunahitaji viongozi wenye akili wanyenyekevu busara na hekima kuongoza nchi tuwe wakweli mambo mengine yanayofanyika sasa hivi yanachafua ccm mbele ya wanachama. Tusonge mbele kwa maendeleo sio kuwa na kesi zisizo na tija
Hi ni matumizi mabaya ya rasilimali tulizonazo3. Halafu Lema si mbunge? Kwanini OCD asingempigia simu aende mwenyewe kituoni? Kulikua na haja gani ya kutumia nguvu kubwa kama kupambana na jambazi? Hivi ingetokea ajali kutokana na kadhia hiyo ya polisi kublock barabara ghafla ingekuaje? Mbona busara haijatumika hapa?
Hta angemaliza mkutano saa 12 kamili wangemkamata kwa kosa la gari lake exauster yake inatoa moshi mkali wenye madhara kiafya
Mbunge wa Arusha mjini Mhe.Godbles Lema amekamatwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa madai ya kuzidisha muda katika mkutano wake kwa dakika saba (07).
Polisi wanadai Lema amemaliza mkutano saa 12:7 jioni badala ya saa 12:00 kamili kama ilivyo utaratibu.
Polisi "wamemblock" Lema katika "keepleft" cha mnara wa saa kwa kusimamisha gari mbili (moja mbele na nyingine nyuma), kisha kuingia katika gari ya Lema na kumuelekeza kituo kikuu cha polisi (central).
Hali hii imesababisha foleni kubwa kwenye barabara zinazoingia katikati ya mji.
ccm wao wanafanya mikutano mpaka saa moja hakuna wa kuwasumbuaAlipewa muda wa kufunga mkutano ni sahihi akamatwe kama amezidisha.
Kama alijua ana mambo mengi ya kusema angeanza saa Nane mchana au mapema. Tatizo hatuangalii obligations and moral responsibilities, bali tunalaumu tu kuwa mtu kakamatwa.
Labda , tuanze kulinganisha sasa na mikutano ya wapinzani na wabunge wa ccm kama wao ccm watazidisha muda na wasikamatwe hapo tuanze kulaumu hiki ndicho kipimo.
Njia pekee iliyosalia chadema kujiokoa na visasi vya Mtukufu malaika wa chato ni kwenda kumshitaki The HagueAwamu hii tutaona maajabu, nchi inatakiwa majimbo mengine yajitenge, akili zetu zinazidi kuwa ndogo kwa kuwa na watu wa mipasho. Kumbuka visasi havileti maendeleo, sasa ndio nimeamini kwa nini mkoloni hakujenga shule usukumani na umakondeni
Chadema wasipokwenda UN ama The Hague kulalamika kinachofuata sasa ni baadhi ya wabunge kufungwa au kufanyiwa vioja mpaka basiKazi ipo na hii ndo nchi yetu
Lazima utakuwa mmoja Wa wale Kigwangwala aliosema atawashughulikiaAlikuwa na hamu ya kurudishwa rumande tu, labda kuna kitu kakikumbuka, kwa nini asiheshimu muda? Any way, alikuwa anaongelea na yeye ishu ya kuwalipa wazungu or?
Wanatumia Lasilimali vibayaMbunge wa Arusha mjini Mhe.Godbles Lema amekamatwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa madai ya kuzidisha muda katika mkutano wake kwa dakika saba (07).
Polisi wanadai Lema amemaliza mkutano saa 12:7 jioni badala ya saa 12:00 kamili kama ilivyo utaratibu.
Polisi "wamemblock" Lema katika "keepleft" cha mnara wa saa kwa kusimamisha gari mbili (moja mbele na nyingine nyuma), kisha kuingia katika gari ya Lema na kumuelekeza kituo kikuu cha polisi (central).
Hali hii imesababisha foleni kubwa kwenye barabara zinazoingia katikati ya mji.