Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema aandaa Matembezi ya Hisani

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amesema kamwe hatakubali kuona mwanafunzi aliyefaulu darasa la saba anashindwa kwenda shule ya sekondari kutokana na kukosa ada.
Lema amesema atahakikisha zaidi ya watoto 500 wanawezeshwa kujiunga na sekondari ifikapo January 2011.Lema amesema tayari ameunda kamati ya maendeleo ambayo imeandaa mikakati ya kufanikisha matembezi ya hisani yatakayofanyika Desember 17 mwaka huu kuchangisha fedha hizo.
 
Unataka kutuambia Serikali yetu imefilisika kama ile ya Ireland?
 
kwa fujo aiseeeeeee leo kuna kikao cha wana JF wa hapa Arusha utakuwepo.....

Kwa muda huu niko Arusha kama hamtajali nielewesheni mko wapi ili nijiunge nanyi natama kukutana na baadhi wanajf wa Arusha na kuchangia yatakayojiri
 
Unataka kutuambia Serikali yetu imefilisika kama ile ya Ireland?

Ingawa serikali ya Tanzania inaongeza jitihada zake katika kuhakikisha wanafunzi wanapata elimu, wanafunzi wanaofanikiwa kujiunga na elimu ya sekondari wanakabiliwa na matatizo mengi. Matatizo hayo ni pamoja na umasikini,kwani taifa letu linakabiliwa na umasikini kwahiyo basi serikali kwakushiriana na sekta binafsi na kusahau tofauti za kichama haipaswi hata wabunge wa vyama pinzani kuiga mifano kama hii serikali haiwezi peke yake kufanikisha azma hii. Sasa hivi kilia mtanzania anapaswa apeleke mtoto shule ili baadae taifa liweze kua na kizazi ambacho kimesoma.
 
Lugha Kama vile gblec mwenyewe , mkuu unachangia kiasi gani c unajua sasa unazo mambo flani ya mjengoni ili tukijitokeza tujue unamaanisha na C sanaa
kama inakukera waambie waache kuchezea pesa ya walala hoi....ukitakujua Godbless atachangia TZS ngapi usikose Tarehe 17-12-2010....CDM ni vitendo siyo maneno.....Kuna Ambulance mbili ziko bandarini, Trekta tayari lipo ndani ya A-City...
 
What actualy is happening here is not mare matembezi na michango tu,but ni njia mojawapo ya kuwatengenezea wananchi spirit ya togetherness and commitment to each other,Bravo Godbless....
 
kama inakukera waambie waache kuchezea pesa ya walala hoi....ukitakujua Godbless atachangia TZS ngapi usikose Tarehe 17-12-2010....CDM ni vitendo siyo maneno.....Kuna Ambulance mbili ziko bandarini, Trekta tayari lipo ndani ya A-City...

Mnakutana wapi na saa ngapi, tafadhari tueleweshane na miminipo A Town??
 
viongozi kama hawa ndio wanaohitajika, maendeleo hayaji kutoka kwa mtu mmoja bali kwa kushirikiana na kushirikishana hata kwa kidogo mlicho nacho..hongera sana Lema na hongrea kwa wana A-Town wote kwa kikao chenu, sisi tulionje tunawatakia kila la kheri sana
 
Back
Top Bottom