Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,292
Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema amesema kamwe hatakubali kuona mwanafunzi aliyefaulu darasa la saba anashindwa kwenda shule ya sekondari kutokana na kukosa ada.
Lema amesema atahakikisha zaidi ya watoto 500 wanawezeshwa kujiunga na sekondari ifikapo January 2011.Lema amesema tayari ameunda kamati ya maendeleo ambayo imeandaa mikakati ya kufanikisha matembezi ya hisani yatakayofanyika Desember 17 mwaka huu kuchangisha fedha hizo.