Mbunge wa Arumeru Mashariki mh. Joshua Nasari ahamasisha wananchi kugomea Mwenge wa Uhuru

Ndg wanajf ni lazima tujue kuwa ziara ya mwenge ni mrad wa kuingza kipato kwa wa2 wachache, ivo huwez kuzuia kwa maneno
 
Tatizo lao sio wabunifu.. Wameng'ang'ania vitu vilivyokuwa na mantiki miaka ile...
 
Safi sana,wanataka watu wakusanyike wacheze kwaito baada ya hapo waambukizane ukimwi,safi sana!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom