Mbunge vs Mahakama kuu

Ngurubhe

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
1,842
2,000
Kwa mara ya kwanza sikutaka kuamini kama mhimiri miwili inaweza kutofautiana na kupishana kiasi hiki.

lakini ndio hivyo mbunge limetoa tamko kuwa kesho mjadala juu ya report ya Issue ya Escrow itaendelea kama kawaida,na hilo amelithibitisha Spika wa bunge mwenyewe.

Mahakama kuu nao kwa upande wao pia wameta tamko vilevile kwa sababu wanazoziona kuwa ni mhimu,kuwa bunge lisiendelee kujadili chochote kuhusiana na hii escrow scandal.

Mim kama mwananchi wa kawaida nimebaki mdomo wazi,nashangaa,japo najiuliza nani anahaki ya kuonekana anauwezo wa kunifanya NIKAWA JAPO NA TUMAINI la kuwa kuna kitu kitafanyika,na ambao binafsi natamani walifanye kazi swala hili ni BUNGE.

Sina IMANI NA MAHAKAMA KUU HASA KWA SWALA HILI,zilishatookea kesi nyingi sana zenye kufanana kabisa na hili basi huwa wakibanwa sana bungeni mahakama kuu imekuwa kama lango la kutokea na kisha kuzima kabisa.

Bunge kama mlivyoonesha nia ya kuendesha mjadala wa report hio hapo kesho basi sisi wananchi hatulali tunahangaika kadili ya uwezo wetu kuhakikisha wizi huu unachukuliwa hatua mahususi ili kuwatia adabu mafisadi hawa.

Kama unataka bunge,au mahakama washikilie escrow toa sababu zako hapa...
 

The bos

JF-Expert Member
Feb 15, 2014
350
0
mmmmh makubakliano muhmu ktk hili hsa tuangalie n unyet mana linaweza chafua hali ya hewa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom