Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Mh hana vigezo kasingizia kuumwa..kanisa limedai hakuwakilisha vyeti muhimu ikiwa ni pamoja na vya ubatizo na mafundisho. Alijua fika km hakutakuwa na hiyo ndoa. Habari ndio hiyo..!!!!!!
 
Chinibya kapeti zinasema kuwa kawekewa pingamizi.

Mwanaume ni mume wa mtu.....mkewe kaweka pingamizi.....

Jamani wazee wa umbea wa mjini humu mbona mnaniangusha? Mie nilijua nitakuta data kamili zilizothibitishwa na tbs

Nlitaka nshangae labda km angeolewa na kiserengeti mana kwa umri wao si rahisi m/me kumkuta hajaoa au labda km mkewe kafa au alikuwa na mtu lakini hawakuoana.
 
hahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Chinibya kapeti zinasema kuwa kawekewa pingamizi.

Mwanaume ni mume wa mtu.....mkewe kaweka pingamizi.....

Jamani wazee wa umbea wa mjini humu mbona mnaniangusha? Mie nilijua nitakuta data kamili zilizothibitishwa na tbs

warumi amepwaya sana katika hili, huu umbea first class naona hauwezi ametuangusha kwakweli.
 
Last edited by a moderator:
Blogu ya Wananchi imepata ripoti ifuatayo sasa hivi:- kwamba ile harusi ya the Century iliyokuwa ifanyike leo Kempisk Hotel baina ya Mbunge Maarufu wa Viti Maalum CCM Mh. Vicky Kamata imepiga mwamba kutokana na ukweli kujulikana dakika ya mwisho jana kwamba Mchumba wake Mheshimiwa Mbunge ni Tapeli wa ajabu hapa nchini amabye amekuwa akiwadanganya sana kina dada wenye utajiri na kwamba Mh. Vicky Kamata anakuwa ni Mbebez wa tatu kutapeliwa na Mchumba huyu pichani. Ripoti inasema kwamba Juzi Mke wa kweli wa Mchumba huyo alijitokeza na hati zake Kanisani Catholic kwa Wachungaji waliomfahamisha Mchumba kwamba hakutakuwa na tendo la kufunga Ndoa Kanisani ndipo Mvumba huyo bwana Charles akatimka na jumla ya pesa za mchango wa harusi hiyo Shillingi Millioni 40. Jumla zilikuwa zimeshachangwa Shillingi Millioni 100, tayari USD $ 15,000 zilikuwa zimeshalipiwa kwa ajili ya Ukumbi wa Kempisk Hotel, tayari wageni waalikwa toka Geita walioshiriki kumchagua Mbunge huyo walishafika Dar wapo hapa, na cha kutisha zaidi ni kwamba Mheshimiwa Mbunge toka jana asubuhi ameshindwa kabisa kumpata mchumba huyo kwenye simu zake zote zimezimwa hazipatikani kabisa. Inasemekana baadhi ya Wabunge waliomchangia kwa kiwango kikubwa sana wameanza kulalamika kwa pembeni kwamba wanataka sana kurudishiwa michango yao.

NUKUU TOKA KWA LEMUTUZ
 
hii ni habari njema kwa dunia ya wastaarabu na wakweli ambao wanawake huwa hawapendi watu wakweli.
 
Mabwaku haya, pole kwa vickie maana anapata wakati mgumu sana
 
hii ni habari njema kwa dunia ya wastaarabu na wakweli ambao wanawake huwa hawapendi watu wakweli.

Tatizo akina dada wakiona unapendeza mjini hapa wanajua ni pedeshee ndo matokeo yake hayo hebu waambie waende uhuru peak au jacaranda wajionee wadada wanavyolizwa mkuu
 
Kanisa katoliki wapo makini sana kwenye ndoa,hawawezi kufungisha ndoa mwenye mimba tayari,labda kama ni kurekebisha ndoa na sio kufunga ndoa.
Hiyo kuugua ghafla inawezekana ni baada ya kuambiwa hajakidhi vigezo, kama Paroko alivyoeleza kwenye hiyo habari.
Pole sana Vick jipange upya ikibidi subili upone kabisa na ufuate ushauri wa madaktari usije ikatokea upo hightable.
 
hii ni habari njema kwa dunia ya wastaarabu na wakweli ambao wanawake huwa hawapendi watu wakweli.

Yaani,asikwambie mtu bado Waafrica hasa wanawake hata uwe na cheo gani ndoa ndo inamfanya aheshimike.It seems amefight sana kwa ajili ya ndoa na ukute no mimba no anything,hizo ni stress tu zinamzonga.
 
Mbona majangaaaaaa!!!!!!!

May 24 si ndio Leo..mmmh ebu nipite mie

Bibi harus anaumwa, na hawez kuvaa high heels kweny harus, yaan wanawake sasa iv wanavyopenda kuolewa wangeleta nyodo ivi??, mmh kweli apa kuna mchezo mchafu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom