Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Goodnight NAJUA LAZIMA KUCHIMBIKE HUMU NA HIVI PAKA NAONDOKA MAPEMAAA!!! Mta tenaje nyongooo? Bt i reaaly need to wake up early kigodoro nimekinawa hiki! Vijana na nguvu kazi ya taifa! Kijana nilale nikatumikie taifa
 
Ila Lara 1 kubwa la maadui !!!! Yaani watu mia nane wako against wewe lakini bado king'ang'anizi kama Mke wa vampire
 
Vicky Kamata kateka magazeti na JF. Mwizi wa waume za watu gumegume nungayembe.
 
JANA ILIKUWA NANI ALAUMIWE NA NIKASEMA VICKY HANA KOSA COZ NAMJUA HUYU BABA NI VAMPIRE KITAMBOOO!

LEO NIMELETAN SIDE B YA MKE MTU, MAANA WATU MLIKUWA MNAPAYUKA MSIVOVIJUA!

Una swali lingine? Uaminimlipi KWANI LIPI LIMEBADILIKA?

Ndo mkewe kusikia anaoa kama sisi wengine! waambiwa yupo ndani alia tu yakheee! inatia imani, wala hizo nguvu za kwenda kufanya fujo sijui vurugu sijui kisasi hanaaa! Analia na Mungu wake tu! mjini kuna mambo!

kwahiyo huyo wife yupo ndani tu analia kama ulivyoandika hapo juu au ameweka pingamizi kanisani kama kwenye mjadala wa ile thread ya jana?

which is which?
 
I dont remember officially EVER LIKE EVER inviting you to read or comment in any of my threads! AND IT WILL NEVER HAPPEN!

JF is the social media. ...... mleta thread na msoma thread kila mmoja ana haki na wajibu wake.

it isnt the matter of who invited who , bali mijadala ipo tu humu ndani na its there to be discussed whether umealikwa au hujaalikwa.
 
kilichokufungulisha thread!

Kama umbea usiambiwe?huna la maana bora hata huyo aliekuja na stor kamil kaeleweka sio ww brah brah nyiing fact 0


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
:Huyu mke halali bwana ni kweli alifunga ndoa na huyo bwana si kanisani ila bomani, back in the days kitambo sanaa like a decade ago!:
Mume aliye kuwa mtarajiwa wa Vicky ana umri gani?

Mkuu one decade ni 10 years atakuwa bado kijana vya kutosha
 
"Did He Propose? Ooh Yeees, Why Not!!..." Ndo Maneno Yao Wakiwa Wanaji-proud Ili Wawakoge Mashoga Zao, Hata Kufanya Ka-analysis Kidogo HAKUNA!!! Ni Emotions Tu Kwa Kwenda Mbele... Mwanamme Ana-propose, Na Hayupo Mwanamke Asopenda Au Kujisikia Ufahari Akeshatupiwa Marriage Proposal..... TUTAELEWANA TU!!
 
hivi kwa jinsi unavyoonekana wewe ni mtu mzima maybe 45,sasa ulitegemea nini ku date mwanamke mwingine na una mke na watoto?hivi kumbe siku hizi utu uzima siyo dawa?pambafu kabisa,na wewe Vicky desperation za nini???kama upo desperate na ndoa unaonyesha watu???sasa umeingia chaka???pambafu na wewe,

IMG20140512WA0001.jpg
 
hivi kwa jinsi unavyoonekana wewe ni mtu mzima maybe 45,sasa ulitegemea nini ku date mwanamke mwingine na una mke na watoto?hivi kumbe siku hizi utu uzima siyo dawa?pambafu kabisa,na wewe Vicky desperation za nini???kama upo desperate na ndoa unaonyesha watu???sasa umeingia chaka???pambafu na wewe,
Mkuu umenikumbusha style za masanja mkandamizaji...P....vu kabisa, na wewe kuja hapa, wewe camera man kuja hapa pu..vu kabis......hahahaaaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom