Mbunge Vicky Kamata augua ghafla masaa machache kabla ya ndoa yake, Mume aingia mitini!

Status
Not open for further replies.
Na hili liwe somo kwa mipaka ya baa kama yeye!

Kwa Ufupi Mh mtarajiwa Charles Gardner Payi naweza kumuita ni Mtoto wa mjini sana aka Mzee wa Mipango aka Sukari ya Mabinti na wamama matajiri.
Yasemekana Aliwahi Kuwa muajiriwa wa Voda kitengo cha Huduma kwa Wateja kama ijulikanavyo kitengo hicho kina mabinti wengi na huyu ndugu hata mkewe alimuopoa hukohuko licha ya kusambaratisha mabinti wengi kitengoni hapo.
Ni majnja kiasi kwamba hata Elimu yake si ya kutisha lakini ni kijana mwenye confidence ya ajabu na ameweza kuajiriwa kampuni mbalimbali za simu ikiwemo Sasatel na sasa 0713.
Kote alikopita ameacha kivuli na yawezekana ana watoto lukuki.


Nawasilisha
 
  • Thanks
Reactions: Sal
Nimeisoma hii kwenye blog moja maharufu kuwa Vicky hakuwa anataka kuolewa kwa mapenzi ila ni mambo ya political career ndio maana ndoa ilipigiwa promo na vyombo vingi vya habari including JF....

Ana mpango wa kugombea jimboni kwake huko Geita, sasa bila ndoa kaona wasukuma hawata muelewa...ndio hivyo kumganda mkaka waoane....kibaya zaidi ametaka iwe ni kwa mkataba; kwamba anamtumia kurudisha hishima...kwani keshakuwa promised na uwaziri (only in Tanzania) ...kwa kuwa kijana ni mjanja wa mjini kaona usinione zoba...ndio hayo....

Hajaiba cha ela za michango wala nini kwani wana kamati sijuhi waweka hazina walikuwa waheshimiwa wenzie...

Ndio maana anaendelea kucheza drama kupumbaza watu...kutafuta sympathy...

Hakuna cha mke kwenda kanisani kuzuia ndoa,

Hakuna cha kuugua,

Hakuna cha kutokuwa na vyeti vya ubatizo...

Jamaa kagoma kuoa; kagoma kutumika...na hawezi kukimbia kwani ni mfanyakazi wa 0713....
 
Kuanzia Leo mabibi harusi watarajiwa plan on wearing malapa on wedding day in case something goes wrong na mimba zenu (zis daiz u CAN' T get melid unless ur pregooh!) .....a la muheshimiwa....a.k.a future miniztaa...only in bongo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom