Mbunge vicent nyerere afungua matawi cdm kata ya nkome na nzera wilani geita leo . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge vicent nyerere afungua matawi cdm kata ya nkome na nzera wilani geita leo .

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OMUSILANGA, Oct 27, 2012.

 1. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo Wakuu ! Muda mfupi ulio pita Kamanda Vicent Nyerere amefungua matawi ya chadema katika vijiji vya Nkome na Nzera. Kazi hii imefanyika mapema asubuhi ili kutoa muda wa kutosha kwa ajili ya kufunga kampeini leo katika kata ya Lwezera. Zaida nitawajuza but simu yangu inasumbua kuhusu picha.
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Asante kwa details inatosha mkuu endelea kutujuza!
   
 3. N

  Noboka JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,144
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kila la kheri, ila mwe makini na vitu vya ncha kali
   
 4. U

  Ubungo JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hongera Mh. Vicent Nyerere
   
 5. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Thanks very much
   
 6. J

  JeanPrierre Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asisahau kusalimia wana CDM hapo Nyamboge na Katoma, all the best fighters
   
 7. M

  MKUU WA KAYA JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 201
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Peoples power daima
   
 8. D

  Darick JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 222
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tena vile vinavyotoka upande wa waandamani
   
 9. M

  Malata Junior JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,778
  Likes Received: 1,201
  Trophy Points: 280
  hakuna maandamano mkuu!
   
 10. M

  Malata Junior JF-Expert Member

  #10
  Oct 27, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,778
  Likes Received: 1,201
  Trophy Points: 280
  mkuu Darick hakuna maandamano hapo ni kufungua matawi!
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Oct 27, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Vijana wa Cdm mnafanya kazi njema sana. Sijui kama huwa mnaingia hapa jf ili kuona jinsi vijana wenzenu walivyohamasika.
  Kwa kazi iliyofanywa na M4C tangu enzi za Regia hadi leo naamini cdm si ile ya 2010.
  Dalili kwa JK zinasoma hali ya hatari.
   
 12. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #12
  Oct 27, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,134
  Likes Received: 10,484
  Trophy Points: 280
  Safi sana..
   
 13. Gogo la choo

  Gogo la choo JF-Expert Member

  #13
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 8, 2012
  Messages: 714
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Pamoja sn..kesho Kikwete anaenda Same kuhutubia na kufungua kiwanda cha Tangawizi..ngoma droo hapo..
   
 14. C

  Concrete JF-Expert Member

  #14
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Tena vizito vilivyorushwa kutoka mbali.
   
 15. C

  Concrete JF-Expert Member

  #15
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 3,607
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Sasa JK anaingilia kazi za Dr.Bilali(Mzee Mkasi). Kwani kazi za kufungua kiwanda ni tukio la kukata utepe.
   
 16. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #16
  Oct 27, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,080
  Trophy Points: 280
  kweli mkuu kamanda Nyerere umeamua ...safi sana kiongozi.!
   
Loading...