Mbunge Upendo Peneza achafua Geita Mjini, agawa uniform, helment kwa boda boda zaidi ya 400

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,395
Ikiwa ni kujali wananchi wa Mkoa wake, Mbunge wa Viti Maalum Geita CHADEMA leo katoa misaada yenye thamani ya zaidi ya million 14 kwa kutoa uniform kwa bodaboda na Helment, pamoja na kugaza jezi mbalimbali kwa vijana..

Mytake:. Mbunge wa sasa wa Geita Mjini akae mguu pande. 2020 anawesa kungo'ka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi siasa za zamani na ndio zinafanya upinzani unadondoka kila siku, mbunge sifa za muda mfupi haziwezi dumu. Mbunge kama anazo rasilimali alipaswa kuwajengea uwezo bodaboda wa kununua uniform na helmet ili zinapoisha waweze kununua wenyewe.
 
Hongera kwa kuwapa misaada jambo zuri haya Ndio Mambo tunataka upinzani ufanye sio mikelele tu Ya Domo krasia Domo krasia!!!
 
Hizi siasa za zamani na ndio zinafanya upinzani unadondoka kila siku, mbunge sifa za muda mfupi haziwezi dumu. Mbunge kama anazo rasilimali alipaswa kuwajengea uwezo bodaboda wa kununua uniform na helmet ili zinapoisha waweze kununua wenyewe.
mkulu yeye huwa anawagawia hela kabisa wananchi na kura anapewa nyingi tu bora huyu anawapa mavazi
 
Hizi siasa za zamani na ndio zinafanya upinzani unadondoka kila siku, mbunge sifa za muda mfupi haziwezi dumu. Mbunge kama anazo rasilimali alipaswa kuwajengea uwezo bodaboda wa kununua uniform na helmet ili zinapoisha waweze kununua wenyewe.
Kuna yule aliegawa boda boda Arusha. Unamsemeaje.
 
Hizi siasa za zamani na ndio zinafanya upinzani unadondoka kila siku, mbunge sifa za muda mfupi haziwezi dumu. Mbunge kama anazo rasilimali alipaswa kuwajengea uwezo bodaboda wa kununua uniform na helmet ili zinapoisha waweze kununua wenyewe.

..kwa bodaboda huo ni msaada mkubwa.

..pesa ambazo wangetumia kununua helmet na uniform sasa watatumia kufanyia matengenezo pikipiki zao.
 
Ikiwa ni kujali wananchi wa Mkoa wake, Mbunge wa Viti Maalum Geita CHADEMA leo katoa misaada yenye thamani ya zaidi ya million 14 kwa kutoa uniform kwa bodaboda na Helment, pamoja na kugaza jezi mbalimbali kwa vijana..

Mytake:. Mbunge wa sasa wa Geita Mjini akae mguu pande. 2020 anawesa kungo'ka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo tulishayakataa, hakuna jipya hapo.
 
Hizi siasa za zamani na ndio zinafanya upinzani unadondoka kila siku, mbunge sifa za muda mfupi haziwezi dumu. Mbunge kama anazo rasilimali alipaswa kuwajengea uwezo bodaboda wa kununua uniform na helmet ili zinapoisha waweze kununua wenyewe.
Na yule raisi anayegawa maburungutu ya pesa kwa watu barabarani unamshauri nini???
 
..kwa bodaboda huo ni msaada mkubwa.

..pesa ambazo wangetumia kununua helmet na uniform sasa watatumia kufanyia matengenezo pikipiki zao.
Kabisa alichofanya peneza kinafaa kiiigwe na wabunge wa upinzani hasa Tundu lisu na godless lema kuwa watu wanahitaji maendeleo Na sio masimulizi Ya Kusimulia ndoto za kuota nani atakufa au nani dikteta uchwara.
 
Hizi siasa za zamani na ndio zinafanya upinzani unadondoka kila siku, mbunge sifa za muda mfupi haziwezi dumu. Mbunge kama anazo rasilimali alipaswa kuwajengea uwezo bodaboda wa kununua uniform na helmet ili zinapoisha waweze kununua wenyewe.
Ulitaka wajengewe uwezo upi wa kununua uniform ilhali wanafanya biashara ????.....

Tena kama wafanyabiashara walitakiwa kujiongeza ila kama mbunge kaamua kuwapa ni heko kwake.Tuweke mawazo ya kijamaa pembeni ili tuwe na maendeleo , by the way toka maisha plus bado peneza alikuwa smart na ninafurahi kuona ya kuwa anajiandalia mazingira ili kupunguza vichwa vilivyochoka bungeni
 
Chadema kama ikiendelea kufanya vetting yake vizuri katika kupata viongozi wake naiona ikiwa ni chama ambacho kitakuja kutoa viongozi wazuri, wapenda maendeleo, waadilifu na wazalendo wa kweli huko mbeleni
 
Kabisa alichofanya peneza kinafaa kiiigwe na wabunge wa upinzani hasa Tundu lisu na godless lema kuwa watu wanahitaji maendeleo Na sio masimulizi Ya Kusimulia ndoto za kuota nani atakufa au nani dikteta uchwara.
Kama hamna mazingira mazuri unadhani peneza anawezaje kwenda kugawa hizo helment? Kama kina Lisu na Lema hawakukemea ile tabia ya bwana mkubwa huenda peneza wakati anagawa hivyo vitu angewekwa ndani kwa amri kutoka juu. Huwezi kuunganisha vitu? Lazima maendeleo yawe na stage na hizi stage lazima kila moja iwe inamtegemea mwenzake. Lema na Lisu walitengeneza mazingira Peneza akaweza kutekeleza ahadi zake. Ngombe uliekatwa mkia wewe.
 
Ulitaka wajengewe uwezo upi wa kununua uniform ilhali wanafanya biashara ????.....

Tena kama wafanyabiashara walitakiwa kujiongeza ila kama mbunge kaamua kuwapa ni heko kwake.Tuweke mawazo ya kijamaa pembeni ili tuwe na maendeleo , by the way toka maisha plus bado peneza alikuwa smart na ninafurahi kuona ya kuwa anajiandalia mazingira ili kupunguza vichwa vilivyochoka bungeni

Utaelewa tu maana ya kujengea watu uwezo ni nini na kuwapa vitu ni nini. Wengine tunapenda kufikiri tofauti kama mnaona ushauri unawakwaza endeleeni na mambo yenu.
 
Hizi siasa za zamani na ndio zinafanya upinzani unadondoka kila siku, mbunge sifa za muda mfupi haziwezi dumu. Mbunge kama anazo rasilimali alipaswa kuwajengea uwezo bodaboda wa kununua uniform na helmet ili zinapoisha waweze kununua wenyewe.
Hahaha kuna watu mna shida., kwa hio helmet na uniform hazina faida kwa boda boda?!
 
Back
Top Bottom