Mbunge Tarime atakiwa asihofu ziara ya CCM

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,184
671
kulikoni mpaka akatakiwa wangwe asichachawe kwa ziara jimboni mwake? na kwa nn kaka yake nae yumo ktk msafara utaoenda huko?

Mbunge Tarime atakiwa asihofu ziara ya CCM Makubo Haruni, Musoma
Daily News; Thursday,March 27, 2008 @00:04

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Mara kimemtaka Mbunge wa Tarime, Chacha Wangwe, kuacha hofu kwamba wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama hicho (NEC) waliopangwa kufanya ziara wilaya za Tarime na Rorya, wamefanya hivyo kumdhoofisha.

''Lengo letu ni kuimarisha chama chetu na wajumbe wako mkoa mzima,” alisema Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Makongoro Nyerere alipozungumza na waandishi wa habari jana kuhusiana na vikao vya NEC vinavyoanza hapa keshokutwa.

Wajumbe 80 wa NEC wamepangwa kutembelea wilaya za Tarime na Rorya, ambako ndiko kwenye jimbo la Wangwe ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Miongoni mwa wajumbe wa NEC waliopangwa katika wilaya hizo ni Profesa Samwel Wangwe ambaye ni kaka wa mbunge huyo wa Chadema.

Makongoro alisema wajumbe wa NEC wapatao 260 wamefika mkoani hapa siku mbili kabla ya kikao chao na leo wamegawanyika katika wilaya za Musoma, Tarime, Rorya, Bunda na Serengeti, wakiwa na lengo hilo sambamba na kuzungumza na wananchi kujua matatizo yanayowakabili.

Alisema baada ya kukamilisha hatua hiyo ambayo pia itatoa fursa ya kuimarisha chama hicho kwa kupokea wanachama wapya, wajumbe hao kwa ujumla wake, kesho watakwenda Jimbo la Musoma Vijijini kwa ajili ya kutembelea miradi iliyotekelezwa na Mbunge wa huko, Nimrod Mkono.

Alisema baada ya kumaliza, watakwenda Butiama keshokutwa na kuanza kikao chao kitakachofunguliwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Kikwete, katika mkutano utakaofanyika mahali alipozaliwa na kuzikwa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.

source habarileo.com
 
mkuu mtu wa pwani,

Unajua Tarime ni halimashauri inayoongozwa na Chadema (kama sikosei ndiyo halmashauri pekee upande wa bara inayoongozwa na upinzani).

Watani wa jadi naona mumeamua kupeleka NEC nzima huko ili kuchukua the whole country back.

Good strategy though maana NEC nzima ikienda Tarime na hayo mapesa ya wajumbe wa NEC hivi kuna mtu atabaki?

Yangu macho!
 
Mtu wa Pwani,
Waoga wengi!
 
watafute pengine yale yale ya kutangaza uzuri wa bajeti. nafikiria labda hii ni back up ya mkono baada ya kuonekana ni FISADI anataka kujisafisha katika majimbo ya tarime.
 
It is too low Makongoro to think this way .Kumbuka Lowasa kafika Tarime mara ngapi , Makamu wa Rais hadi JK mwenyewe sikiu ya uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya wote walipigwa chini vibaya .Sina uhakika kwamba wataweza this time wakiwa wamechafuka mno na watu wana njaa na taabu kibao . Nadhani Makongoro na Mwandishi hawakuwa na la kuongelea ila la kusema CCM kuwa Tarime ni threat sijaona ukweli wowote .Wamuulize JK na Lowasa walivyo pata shida na wakurya na wanchari nk .
 
ikiwa ccm wamechafuka, wapinzani wamefunikwa na tope.
 
I thought mleta hoja ana la kusema kuhusiana na bandiko lake kumbe ni zile zile za kuendelez udaku ?Kama kuna watu wanadhani Makongoro ana mvuto Musoma nadgani majibu wameyapata juzi wakati Mathayo na washikaji zake wa NEC wamekiona cha moto.Musoma Makongoro haiwezi maana kuanzia tabia na akili zake zinajulikana na watu wanamjua ni kichaa .Chacha Wangwe ndiye Mwenyekiti wa Mkoa wa Chadema if am correct nandiye siku zote kawatoa kamasi kuanza JK na Lowasa na wengine.Kumbuka JK ilibidi alipige kambi kule wakati wa kuchagua Halmashauri lakini Mbowe na Wangwe walimkanyaga JK akaondoka kimya kimya na pesa kwenda mbugani kupoa.Leo hao wasio jua kujenga hoja , walio jaa majungu na kiburi kuwa Tarime ama Musoma kwa siku 2 wanaweza kufanya nini kwa Jimbo la Chache wangwe ? Kumbuka wamejaribu kuanzia Mkuu wa Wilaya aliyepita Mabiti na sasa Kolimba lakini wanaumia kila siku .Ijueni historia ya maeneo kabla hamjaanza udaku itasaisia sana kuonekana mna maana na hata nguvu ya ku argue lakini hizi za kukurupuka na ushabiki mtapata mangumi kila saa hapa JF .
 
Nao CCM waachie CHADEMA kajimbo hako mbona wao wana majimbo mengi tu!Wakiwa na majimbo yote akina Lyungu watashabikia wapi?
 
I thought mleta hoja ana la kusema kuhusiana na bandiko lake kumbe ni zile zile za kuendelez udaku ?Kama kuna watu wanadhani Makongoro ana mvuto Musoma nadgani majibu wameyapata juzi wakati Mathayo na washikaji zake wa NEC wamekiona cha moto.Musoma Makongoro haiwezi maana kuanzia tabia na akili zake zinajulikana na watu wanamjua ni kichaa .Chacha Wangwe ndiye Mwenyekiti wa Mkoa wa Chadema if am correct nandiye siku zote kawatoa kamasi kuanza JK na Lowasa na wengine.Kumbuka JK ilibidi alipige kambi kule wakati wa kuchagua Halmashauri lakini Mbowe na Wangwe walimkanyaga JK akaondoka kimya kimya na pesa kwenda mbugani kupoa.Leo hao wasio jua kujenga hoja , walio jaa majungu na kiburi kuwa Tarime ama Musoma kwa siku 2 wanaweza kufanya nini kwa Jimbo la Chache wangwe ? Kumbuka wamejaribu kuanzia Mkuu wa Wilaya aliyepita Mabiti na sasa Kolimba lakini wanaumia kila siku .Ijueni historia ya maeneo kabla hamjaanza udaku itasaisia sana kuonekana mna maana na hata nguvu ya ku argue lakini hizi za kukurupuka na ushabiki mtapata mangumi kila saa hapa JF .

hivi hujasoma zile habari kuwa wamerejesha kadi na kurudi ccm. na nnakuhakikishia 2010 jimbo tunalirejesha tushaunda task force special ikiongozwa na salim msabah kuweka uwanja safi ili wazee kina malecela waje kumaliza ngwe
 
Kurudisha kadi maana yake nini ? Huu ni mchezo wa kijinga ambao Makamba amekuwa akishiriki sana nao .Mimi nilidhani kuna jambo kubwa kumbe ni kurudisha kadi baada ya kulipwa pesa kuondoa njaa ya siku moja ?
 
kaka yangu na wakuu wengine wamejiondoa chadema na kuonekana kwenye vyombo vya habari bado unabisha.

mie nishakuzoea mna kauli mbiu mbili

moja kurejesha kadi tunakufungeni kamba makamba na wenziwe wanadanganya.

nyengine ni kuwa wale waliorudi wamenunuliwa ccm imetoa pesa nyingi ili tuwanunue.

zote kauli mbili kauli za mkosaji na mjambaji kwenye maji
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom