Mbunge Tanzania aomba waziri wao atiwe pingu kama ilivyokua naibu gavana Kenya kwa kukaidi maagizo ya Corona

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,744
48,332
Huyu waziri alisemekana kufichwa kwenye hospitali isiyo maalum kwa shughuli za Corona huku akiwaambukiza watu, kuna Watanzania walikesha humu wakikanusha kwamba hamna chochote kama hicho, ila kelele zilipozidi, akaondolewa kwa kasi na kupelekwa waliko waathirika wengine.
Sasa mambo yamezidi kutokota hadi bungeni na maombi yamefanywa na mmojawapo wa wabunge kwamba ifanywe kama Kenya, akipona tu akutane na pingu kama ilivyokua kwa naibu gavana aliyezingua kihivyo.

 
Nikiwa Mme unakuwa mke,si ndo unachomaanisha hicho.😷😷
jina langu linadhihirisha wazi kuwa mimi ni mume sasa wewe sijui vipi.
wewe sema kama ni mwanamke haraka haraka ili tuweze kuyajenga maana sio kwa kunilazimisha huko eti nije kwako.
 
Haka kamjadala kenu nyie wawili kanachekesha, wacha tuone mwisho wake, kama mtaishia kejani sehemu maana mahoteli yamefungwa, gesti haziruhusiwi.
 
jina langu linadhihirisha wazi kuwa mimi ni mume sasa wewe sijui vipi.
wewe sema kama ni mwanamke haraka haraka ili tuweze kuyajenga maana sio kwa kunilazimisha nije kwako.
Mimi ndo natakiwa kuja huko kutafuta kunguru nikiunga juhudi za Mondi na Ben Pol.... ID si kitu ni maigizo tu... So if you're a kunguru,nishtue.Coz nasikia mnakuwa excited mnapoona mtz.
 
Pasco alishaleta uzi kuhusu huyo waziri toka last tumemjadili mpaka tumesahau, week wewe ndio unakurupuka leo... hovyo, alishajadiliwa mpaka na viongozi na hatua zilizochukuliwa mpaka kupelekwa karantini.

Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! - JamiiForums

Nyie pambaneni kivyenu na mtuache tupambane na yetu. COVID 19 haina chama wala passport

Nakumbuka hiyo siku Pasco alileta huo uzi mlimshambulia sana.....
 
Back
Top Bottom