Del a boss
JF-Expert Member
- Apr 4, 2013
- 394
- 489
Naona unajitahidi kutetea upuuzi ukimbize thread.Tena swali alikuwa ameliandika kwenye karatasi!
Naona unajitahidi kutetea upuuzi ukimbize thread.Tena swali alikuwa ameliandika kwenye karatasi!
Nimecheka mpaka machoziAisee huu ni msiba kwa taifa letu, walidhani bungeni ni uwanja wa kucheza vigodoro wakabebana wote kwa kura za mabegi meusi wakaenda kujazana huko, sasa mbunge hata kuuliza swali hawezi?!
Sijui ataweza kazi gani nyingine huko bungeni zaidi ya kusifia tu, wagonge meza mpaka zivunjike wakanunue nyingine.
Itakuwa aligunaDr Tulia Ackson alielewa!
Ushauri wa finance and Building?Naibu waziri alipaswa kusema kwamba "serikali ina utaratibu wake katika kutafuta wakandarasi, lakini tunashukuru kwa ushauri wako, tutaufanyia kazi na kuona kama unafaa kuingizwa ndani ya utaratibu maalum wa serikali.........
Wewe unatetea nini?Naona unajitahidi kutetea upuuzi ukimbize thread.
Toll road ndio nini?
Hahaha hii nchi kazi kweli
Mh. Taletale alikuwa na swali lenye mantiki nzuri sana pengine uwasilishaji wake ulikuwa wenye sentensi tata kutokana na kukosa nyama zenye kuweza kuleta maana yenye kueleweka. Katika "Project Management" kuna njia tofauti za kuweza kufanikisha miradi ya ujenzi.Mbunge wa Morogoro kusini Mashariki Mh Taletale ameitaka Serikali ishirikiane naye waweze kuleta mkandarasi wa kujenga barabara za jimboni kwake kwa utaratibu wa Finance and Building.
Naibu waziri wa ujenzi alimjibu Taletale kwamba serikali ina utaratibu wake katika kutafuta wakandarasi na kwamba barabara za jimbo hilo ziko katika utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2020/25.
Naibu Spika aliweka sawa hoja ya Babu Tale ambayo awali ilikuwa haijaeleweka vizuri.
Chanzo: Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Nini alimpigia kura??Mbunge wa Morogoro kusini Mashariki Mh Taletale ameitaka Serikali ishirikiane naye waweze kuleta mkandarasi wa kujenga barabara za jimboni kwake kwa utaratibu wa Finance and Building.
Naibu waziri wa ujenzi alimjibu Taletale kwamba serikali ina utaratibu wake katika kutafuta wakandarasi na kwamba barabara za jimbo hilo ziko katika utekelezaji wa ilani ya CCM ya 2020/25.
Naibu Spika aliweka sawa hoja ya Babu Tale ambayo awali ilikuwa haijaeleweka vizuri.
Chanzo: Channel ten.
Maendeleo hayana vyama!
Hapa wa kulaumiwa ni katibu Mkuu wa chama chenu Kwa kuingiza wajinga wengi bungeni.
Bashiru Alli alaaniwe popote alipo Kwa huu UJINGA waliofanya.