Mbunge Tabasamu amtumia Rais Samia video ya ufisadi unaoendelea Sengerema

Mbunge wa jimbo la Sengerema mh Khamis Tabasamu amemtumia video Rais Samia Suluhu inayoonyesha ufisadi wa zaidi ya millioni 700 zilizotolewa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la halimashauri hiyo.
Picha zinaonyesha ujenzi wa ghorofa hilo unaendelea huku kumbe msingi haukujengewa wala kuchimbwa kama inavyotakiwa badala yake ni nondo tu zimesukwa kwa juu yake!
Mh Tabasamu amsema si Takukuru, wala mkuu wa mkoa wala wilaya wanaohangaika na ufisadi huo.
.https://youtu.be/loKyT6CareI
Rais ndio Takukuru? Huko hakuna viongozi? Rais ataenda kila Halmashauri kuzuia ufisadi?
 
Mbunge wa jimbo la Sengerema mh Khamis Tabasamu amemtumia video Rais Samia Suluhu inayoonyesha ufisadi wa zaidi ya millioni 700 zilizotolewa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la halimashauri hiyo.
Picha zinaonyesha ujenzi wa ghorofa hilo unaendelea huku kumbe msingi haukujengewa wala kuchimbwa kama inavyotakiwa badala yake ni nondo tu zimesukwa kwa juu yake!
Mh Tabasamu amsema si Takukuru, wala mkuu wa mkoa wala wilaya wanaohangaika na ufisadi huo.
.https://youtu.be/loKyT6CareI
Mwenyewe kasema kila mtu ale kwa kamba yake si ndio wanakula sasa...
 
Huyo mbunge tabasamu mwenyewe ni mwizi tu.....2025 atafute kazi nyingine ya kufanya sisi wananchi wa sengerema hatuna nafasi ya ajira ya ubunge tena..
 
Hiyo sengerema na buchosa hela ya ujenzi wa madarasa imepigwa kama nini. Ushahidi upo wazi nendeni mkaone madarasa mengine bado yanajengwa na fedha imeshaisha.
 
Mbunge wa jimbo la Sengerema mh Khamis Tabasamu amemtumia video Rais Samia Suluhu inayoonyesha ufisadi wa zaidi ya millioni 700 zilizotolewa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la halimashauri hiyo.
Picha zinaonyesha ujenzi wa ghorofa hilo unaendelea huku kumbe msingi haukujengewa wala kuchimbwa kama inavyotakiwa badala yake ni nondo tu zimesukwa kwa juu yake!
Mh Tabasamu amsema si Takukuru, wala mkuu wa mkoa wala wilaya wanaohangaika na ufisadi huo.
.https://youtu.be/loKyT6CareI

Video ya nn? Haya majizi yaliiba Kura in a day light
 
Back
Top Bottom