Mbunge "Sugu" apata ajali ya gari!

zulu12

Member
Apr 2, 2012
58
11
Mbunge Joseph Mbilinyi Amepata ajali akiwa njiani kwenda Arusha.

More details to follow
Wanabodi,

Nimepata taarifa kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi (Sugu) amepata ajali mbaya ya barabarani wilayani Hanang' baada ya gari lake kugongana uso kwa uso na basi la abiria.

Ajali hiyo imetokea muda mfupi uliopita wakati Mh. Sugu akielekea Arusha.

Taarifa zinadai Mh. mbunge hajadhurika!

Tuendelee kufuatilia zaidi; na kama kuna mwenye taarifa zaidi na atujuze.

Wasalaam!
 
pole sugu, usije kuta ajali ya kupangwa, nimekosa imani kabisa na maccm.
 
Mungu ampe nafuu haraka ili aendelee na harakati za kuwatumikia wapiga kura wake. Tueleze vizuri ilikuaje na hali ikoje kwa sasa.
 
hayo yote ni mapito tu na pia ni njia ya mwenyezi mungu kuonyesha uguma ambao cdm wanapitia katika kutetea haki ya walio wengi usikate tamaa kamanda mwisho wa magumu unakaribia kufika.
 
Mbona mnatiririka na pole tu badala ya kutoa taarifa ya uhakika kama Mh Sugu ameumia kiasi gani?
 
Hapa Chadema Mungu anatupa mitihani tuishinde. Inabidi tujue kuwatoa nduli CCM itakuwa si kazi rahisi lkn tusife moyo.
 
Back
Top Bottom