Mbunge: Serikali imlinde Mwekezaji Mo Dewji asiwe frustrated

Sio kina Kigwangala tu. Wapo kina mzee Dalali na ile tume inayochelewesha mabadiliko ya uwekezaji wa Simba.

Kumbukeni huyo Mo kwa sasa ni mshauri wa Rais wa Arfika kusini, anaweza kuangalia ustaarabu mwingine huko South akawaachia timu yenu.
Hata akisepa Simba itapata muwekezaji mpya tajiri pia kama MO.

Watatu wa ndani ya nchi na wawili wa nje ya nchi,kati ya hao mmoja analilia kuwa muwekezaji pale Simba na Kanji bhai analijua hili.
 
Mbona unataja mtu mwenyekuheshimika na wanasimba wote unamjua vizur mzee Dalali au unaropokwa tu.
 
Na kweli hawa jamaa ni si wastaarabu kabisa kama wapo.

Simba haiwezi kufanywa kama mwanamke Malaya ambaye anatunzwa vizuri halafu anamringia anayemtunza eti tu kwa vile kuna bwana mwingine.

Hii ni tabia ya watu maskini ambayo imewaathiri sana hata dada zetu.

Fikiria timu ngapi zinahitaji msaada lakini hazipati na zina brand kubwa sana.Mfano Pamba ya Mwanza wana T.P lindanda.
Walikuwa wap kabla ya huyo MO?
 
Hata akisepa Simba itapata muwekezaji mpya tajiri pia kama MO.

Watatu wa ndani ya nchi na wawili wa nje ya nchi,kati ya hao mmoja analilia kuwa muwekezaji pale Simba na Kanji bhai analijua hili.
Mbona Yanga ipo? Si waende Yanga?
 
Mo anapenda lia lia ..... sasa kapata wabunge lia lia .. Hachelewi kususa huyo..
 
Hata akisepa Simba itapata muwekezaji mpya tajiri pia kama MO.

Watatu wa ndani ya nchi na wawili wa nje ya nchi,kati ya hao mmoja analilia kuwa muwekezaji pale Simba na Kanji bhai analijua hili.
Hata Yusuf Manji anaililia hiyo fursa kweli kweli. Kwa hatua iliyofikia Simba kila mwenye hela anatamani kuwekeza hapo,Simba imekuwa tamu sasa hivi.
 
Ila Kigwangwala ana roho mbaya sana, kunyimwa ule mkopo wa pikipiki ndiyo nongwa zote hizi,alaaniwe Kigwangwala.
 
Back
Top Bottom