Mbunge sadifa juma khamis (ccm): Nipo tayari kumpiga risasi baba yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge sadifa juma khamis (ccm): Nipo tayari kumpiga risasi baba yangu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by IDIOS, Jul 19, 2012.

 1. I

  IDIOS Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  MBUNGE wa Donge, Sadifa Juma Khamis (CCM), amesema yupo tayari kumpiga risasi baba yake iwapo atashiriki kwenye maandamano yasiyo na kibali cha polisi. Sadifa alitoa kauli hiyo jana alipokuwa akichangia hotuba ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ambapo alisema anaunga mkono polisi kutumia silaha za moto kwenye maandamano. Alisema anapinga michango iliyotolewa na baadhi ya wabunge wenzake ambao walitaka polisi wasiwe wanakwenda kwenye maandamano na silaha za moto. “Jamani mimi nipo tayari kumshoot (kumpiga risasi), baba yangu kama atakuwa amehudhuria maandamano yaliyokataliwa na polisi, nimepitia jeshini, najua ufanyaji kazi wa polisi. “Ni lazima polisi apewe silaha za moto kwenye maandamano maana wengine hapa wanayafanya bila kibali, kama mnataka polisi wasiwapige risasi basi fuateni taratibu za kufanya maandamano,” alisema. Awali kabla ya Sadifa kuchangia hotuba hiyo, Mbunge wa Viti Maalumu, Naomi Kaihula (CHADEMA), alilitaka jeshi hilo kutokwenda na silaha za moto kwenye maandamano mbalimbali. Alisema hivi sasa limekuwa jambo la kawaida kwa askari polisi kwenda katika maandamano wakiwa na silaha za moto ambazo wakati mwingine wamekuwa wakizitumia, jambo linalosababisha vifo na majeruhi kwa waliohudhuria. Kaihula alibainisha kuwa polisi wanapaswa kutambua wajibu na dhamana yao kwa Watanzania kwa kutoegemea upande wa chama chochote katika utendaji wao. “Hali ya sasa inaonyesha matumizi ya nguvu ya polisi ni makubwa, polisi wanaogopwa wanapokamata hata kibaka wanatumia silaha kali za moto, lakini pia kuna tatizo la polisi kujihusisha na siasa, vitu hivi viwili vinapaswa vitengane kwani ni tishio kwa usalama wa nchi,” alisema Kaihula. Naye Mbunge wa Viti Maalumu, Chiku Abwao (CHADEMA), aliwatahadharisha polisi kuwa kamwe wasitegemee CCM itaendelea kukaa madarakani milele, kwani ipo siku chama hicho kitang’oka, hivyo ni vema wao wakafanya kazi zao bila upendeleo. Alisema watawala wa kibaguzi nchini Afrika Kusini walikuwa wakivitumia vyombo vya dola kuwaua wandamanaji na wale waliokuwa wakiupinga utawala huo lakini ulipofika mwisho waling’oka madarakani. SOURCE: TANZANIA DAIMA TAREHE: TAREHE 19 JULY, 2012.
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nilimsikia huyu mzanzibar akiongea jana, ukweli ni kuwa anaonyesha ambavyo akili zake ni fupi na hajui anasema nini. Ni wa kusamehe bure kabisa.
   
 3. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  tena na magamba wenzake wakagonga meza kwa nguvu
   
 4. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Anawaza ya leo tu,siyo kesho na keshokutwa itakuaje. ***** kama huyu anawaza CCM itatawala milele. Kumbe kesho mambo yakigeuka atasahau kama amewahi tamka kauli ya kijinga kama hii,ataanza kuwalalamikia Polisi.
   
 5. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Hivi alizungumza hayo in 3D, au alikuwa anawalenga CDM tu?

  I believe baba yake au ndugu yake wa karibu na mbunge huyu wa Donge ni mwana UAMUSHO. Ninawaomba POLISI wawa TAG, Siku wakiandamana tu maandamano ya UAMUSHO Polisi wawapige RISASI in cold blood. Baada ya hapo Sadifa Juma Khamis atatia akili kichwani mwake. What goes around comes around.
   
 6. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kwa bahati mbaya mzanzibar mwenye akili alikufa prof. Haroub Othman; utampiga risasi baba yako mzazi eti kisa kaandamana??? kweli zenj ni nchi ya weusi kama sio giza. Kwa nini usiondoe zile kero zilizomfanya aandamane kabla ya kupiga risasi?

  Wazanzibar, wamemsikia watamhukumu ikifika wakati, najua prof angekuwepo angetoa andiko la kisomi.
   
 7. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  Mie nadhani huyu mtu atakua ni Alshabab
   
 8. D

  Determine JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  muongo sana huyo
   
 9. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Wanzanibar akili zao ni fupi kama za mtetea sasa huyu ndie mwenye akili kuliko wote huko donge hadi wakamchagua aje dodoma kuwawakilisha. Hao wananchi wenzake waliobaki huko porini donge sijui wana hali gani.

  "Say no to Muungano"
   
 10. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,740
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Magamba wana roho mbaya sana. Yule bi mchawi, sorry, speaker alikataa kihuni hoja ya Hamad Rashid kuahirisha silly session kwa sababu za kipuuzi sana. Sasa huyu mjinga hajui kwa maneno yake hayo keshachuma laana? Ndio michango kama hii Anna Makinda anaona ina tija kwa Tz, more than the loss of innocent souls (who are probably the victims of yet another scum from TISS/CCM).
   
 11. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  La kuuliza hilo?
   
 12. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hii kauli inaonyesha huyu mbunge huamua bila kufikira kabisa. Kama anamheshimu baba yake aliyemlea na kumfikisha hapo, angetaka kujua undani wa baba yake kuandamana badala ya kufikiria kumshoot. Inamaana haamini maamuzi ya baba yake? Tunahitaji wabunge wanaofikiria na kuamua kulingana na mazinngira na muda siyo hawa wasiofikiria kabisa.
   
 13. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Kwanza hana sifa za kuwa Mbunge tunaomfahamu tunashangaa sana kuwa Mbunge.
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  eti atampiga baba yake mzazi risasi...mwambieni aende akale karafuu kwao zenji
   
 15. Electron

  Electron Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  janjaweed, alshabab, idiot kabisa huyo
   
 16. Sabung'ori

  Sabung'ori JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Jul 19, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 160
  ...hii midude mingine imezaliwa ikiwa tayari imelaaniwa,iko tayari kuuwa mtu yeyote ilimradi iendelee kuwa marakani...
   
 17. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Anajikosha mbele ya mume wake ccm ili aendelee kuula
   
 18. L

  Lyogohya Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wazanzibara ndiyo akili zao zilivyo ndogo, tuachane nao.
   
 19. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Uwezo mdogo wa kufikiri na ukichanganya na ulala heri basi amekuwa brain dead. He barely can think beyond his nose
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  huyu ni wakutafuta alafu aegeshewe gobore kwenye masaburi alafu ulikoki utasikia atakavyoharisha na kujamba kwa kasi ya hatari
   
Loading...