Mbunge Ruangwa piga kazi, achana na maneno ya wasio na nia njema na watanzania

mchumihalisi

Member
Oct 8, 2015
27
75
Moja kati ya taarifa nilizovutiwa nazo baada ya kuingia mtandaoni ni kuhusu kinachoitwa ‘Umafia Mkubwa katika uuzwaji wa Korosho, Viongozi kuwanyonya Wakulima’ Sababu kuu za kunivutia ni sababu Korosho iliwahi kuingia kwenye mzozo mkubwa sana na Rais aliyepita wa awamu ya tano Mh. Magufuli kiasi cha kuamua kupeleka Wanajeshi kwa ajili ya kuhakikisha Korosho zile zinanunuliwa na Serikali na kunakua hakuna longolongo tena.

Baada ya kusoma ‘Ripoti’ hio inayosema Mbunge wa Ruangwa anakula dili na Kampuni ya STABANZA na Mh Mbunge anapata Shilingi 1,000 kwa Kilo nikajiuliza huyo mnunuzi anapata kiasi gani? Muuzaji Je? Na Je ‘Kangomba’ iliwahi kufika mwaka wowote wa mtu kupata hata 500 tu kwa Kila Kilo inayonunuliwa? Watu wa kusini mtujuze.

Kubwa zaidi mtoa maada anaonekana ana chuki binafsi na Mbunge wa Ruangwa sababu ukitazama akaunti yake haina hata siku 3 toka ifunguliwe, Lakini post zake zote zimekua za kumchafua zaidi 'Mbunge huyu' wa Wana ruangwa Je hii tuiite kama dhamira ya kuamua kumvuruga Mbunge kugombana na Wapiga kura wake mpaka kwa Mwenyekiti wa Chama chake Taifa?

Sisi watu wa nje tunaona mafanikio ya Mbunge wa Ruangwa yanayoletwa na Serikali ya CCM kwenye kuhakikisha Wananchi wanapatiwa maendeleo chini ya Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassani. Mianya ya wapiga dili ikizibwa tusianze kugombanisha Viongozi na Wananchi. Hii nchi inahitaji maendeleo na bila kuwa na Viongozi wakali wanaosimamia haki na maslahi ya Wananchi maendeleo hatuwezi kuyapata.

Bravo Mbunge wa Ruangwa
 
Maramla

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
572
1,000

Hawa ni Watu ambao wanatumwa bila kufanya tafiti juu ya upotoshaji wanaofanya.
Jana nikijiuluza sana, eti Mbunge apige panga la Shilingi 1000?!...yaani unawezaje Kwa mfano?

Hawa hawaijui Korosho, yaani wamechamka pakubwa.
Mbunge afanye kazi, haya hayaishi.
 
Maramla

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
572
1,000
Ifike mahali kwenye hii nchi mtu akifanya kazi wapigaji wasitafute njia ya kukwamisha jitihada, common sense ya kawaida tu jmn 1000 😂😂😂 hiyo Korosho inauzwa kwenye kilo moja? sasa hapo mnunuzi anapata kitu gani? na mkulima je? 😂😂 Rubbish
 
blix22

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
201
1,000
Moja kati ya taarifa nilizovutiwa nazo baada ya kuingia mtandaoni ni kuhusu kinachoitwa ‘Umafia Mkubwa katika uuzwaji wa Korosho, Viongozi kuwanyonya Wakulima’ Sababu kuu za kunivutia ni sababu Korosho iliwahi kuingia kwenye mzozo mkubwa sana na Rais aliyepita wa awamu ya tano Mh. Magufuli kiasi cha kuamua kupeleka Wanajeshi kwa ajili ya kuhakikisha Korosho zile zinanunuliwa na Serikali na kunakua hakuna longolongo tena.
Huyo nae hamnazo kwanza inaonekana hata bei ya korosho hajui au kama anajua basi anatafuta namna ya kumfitinisha mtu.. we mtu uhongwe 1000 kwenye kilo ya korosho bei ya korosho anaijua huyo au blabla kutaka kukuza jambo aonekane superb, acheni watu wafanye kazi jmn,
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,415
2,000
Kupiga kazi🐒🐒🐒
109_20210706_190119.jpg
htB.jpg
cHi.jpg
c-1.jpg
etX.jpg
rq-1.jpg
3L7.jpg
AIWU7u.jpg
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
3,876
2,000
Moja kati ya taarifa nilizovutiwa nazo baada ya kuingia mtandaoni ni kuhusu kinachoitwa ‘Umafia Mkubwa katika uuzwaji wa Korosho, Viongozi kuwanyonya Wakulima’ Sababu kuu za kunivutia ni sababu Korosho iliwahi kuingia kwenye mzozo mkubwa sana na Rais aliyepita wa awamu ya tano Mh. Magufuli kiasi cha kuamua kupeleka Wanajeshi kwa ajili ya kuhakikisha Korosho zile zinanunuliwa na Serikali na kunakua hakuna longolongo tena.

Baada ya kusoma ‘Ripoti’ hio inayosema Mbunge wa Ruangwa anakula dili na Kampuni ya STABANZA na Mh Mbunge anapata Shilingi 1,000 kwa Kilo nikajiuliza huyo mnunuzi anapata kiasi gani? Muuzaji Je? Na Je ‘Kangomba’ iliwahi kufika mwaka wowote wa mtu kupata hata 500 tu kwa Kila Kilo inayonunuliwa? Watu wa kusini mtujuze.
Ulipaswa uchunguze bei ya korosho huko duniani ndo uje na ubishi, vinginevyo unabweka tu
Kubwa zaidi mtoa maada anaonekana ana chuki binafsi na Mbunge wa Ruangwa sababu ukitazama akaunti yake haina hata siku 3 toka ifunguliwe, Lakini post zake zote zimekua za kumchafua zaidi 'Mbunge huyu' wa Wana ruangwa Je hii tuiite kama dhamira ya kuamua kumvuruga Mbunge kugombana na Wapiga kura wake mpaka kwa Mwenyekiti wa Chama chake Taifa?

Sisi watu wa nje tunaona mafanikio ya Mbunge wa Ruangwa yanayoletwa na Serikali ya CCM kwenye kuhakikisha Wananchi wanapatiwa maendeleo chini ya Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassani. Mianya ya wapiga dili ikizibwa tusianze kugombanisha Viongozi na Wananchi. Hii nchi inahitaji maendeleo na bila kuwa na Viongozi wakali wanaosimamia haki na maslahi ya Wananchi maendeleo hatuwezi kuyapata.

Bravo Mbunge wa Ruangwa
 
Sandiego

JF-Expert Member
Dec 18, 2018
828

Au mama anamuhofia mbunge 2025
 
Maramla

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
572
1,000
Sasa Mtu kama huyu ndo aje hapa kuelezea Korosho??
Yaani unamuona kabisa ana lengo la kumchafua Mtu kwa hoja za kibindoni.
Leo niwape Somo kidogo.

1.Korosho Kwa mfumo wake huwezi kuuza Kwa maelekezo, kwakuwa inategemea ushindani wa minada, hivyo Wanunuzi wote mnaowajua hakuna anayecheza nje ya Sanduku la tenda (bidding).

2.Kupata mzigo kunahitaji kutenda bei ya juu kuliko Mwingine na sio barua za Wabunge.

3.Wezi wakibanwa huwa wanatabia ya kumtwisha Mtu msalaba, kwakuwa wengi hawapendi mfumo wa stakadhi kwenye maghala, wanapenda kulangua.
 
"Magufuli yupo imara,ni buheri wa afya na anachapa kazi.Wanaotaka atoke wanataka atoke aende wapi?Magomeni au kariakoo?"-Majaliwa

Rai yangu ni kwamba Taifa haliwezi kuendelea kwa kukumbatia viongozi waongo waongo.Period.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom