Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,411
- 14,972
Nadhani umekosa washauri. Umewatangazia vijana wote wanaoendesha bodaboda waende kujaza mafuta Msamaria mwema filling station kila m1 mafuta ya tsh 1000/= sijajua ni ujuha au ni nini? Mambo unayojaribu kufanya hayana tofauti na aliyokuwa akifanya mbunge aliyekutangulia Abdul Mteketa. Sijajua ni nini haswa lengo la huu upuuzi unaofanya.
Kwa kwwli sijafurahishwa na ulichikifanya. Bado unapendwa na wana kilombero hukuitaji kufanya huu upuuzi. Next tym usikurupuke.
Kwa kwwli sijafurahishwa na ulichikifanya. Bado unapendwa na wana kilombero hukuitaji kufanya huu upuuzi. Next tym usikurupuke.