Mbunge pekee aliyeanza kazi rasmi

Jogookoko

JF-Expert Member
Jan 28, 2015
533
418
Ni Mbunge wa kinondoni Maulid Mtulia, wengine bado wanashangilia ushindi afu uchaguzi ujao tukiwapiga chini wanakimbilia mahakamani kulalamikia
kushindwa kwao. Umeanza vizuri ndugu Mtulia kwa kuionesha serikali kuwa kuna utawala wa sheria hakuna kukurupuka.
 
Yupo nassary katoa masaa sita kwa mganga Mkuu wa wilaya jimboni kwao. Amekagua hospital na kuonesha hakubaliani na mambo yanavyoendelea
 
mambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea
 
Ni Mbunge wa kinondoni Maulid Mtulia, wengine bado wanashangilia ushindi afu uchaguzi ujao tukiwapiga chini wanakimbilia mahakamani kulalamikia
kushindwa kwao. Umeanza vizuri ndugu Mtulia kwa kuionesha serikali kuwa kuna utawala wa sheria hakuna kukurupuka.
Unaishi maeneo gani dsm?
 
Mkuu point sio kushinda kesi... Point ni kujaribu kila njia kutetea wananchi, hata akishndwa kesi... Ila amejitokeza kuwatetea, hicho ndicho tunachomsifia.... Watz inabid tujenge destur ya kupembua vitu kwa umakini... Tusikurupuke
 
mambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea
Mambo ya kisheria sawa,sasa bila huyo mbunge kufungua kesi mbunge yangetokea haya?give credit where credit is due.
 
Ni Mbunge wa kinondoni Maulid Mtulia, wengine bado wanashangilia ushindi afu uchaguzi ujao tukiwapiga chini wanakimbilia mahakamani kulalamikia
kushindwa kwao. Umeanza vizuri ndugu Mtulia kwa kuionesha serikali kuwa kuna utawala wa sheria hakuna kukurupuka.
Umemsahau pia na mbunge wa mikumi mkuu yeye tayari alishaanza kupiga mzigo kwa kuanzisha barabara mpya na alisimamia mwenyewe bahati mbaya picha zinakataa kuzi upload
 
mambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea
mambo ya kisheria kujiamisha kua mbunge amefanya kazi ni kujitoa ufahamu na kumpa sifa zisizomhusu siku mkibwagwa mahakamani mtasemaje? mnampa kick ya bure na kwa tabia ya wanasiasa wanapenda sana hizo akili zenu za chekechea
ameishashinda kwa maana ya kuzuia zoezi mpaka kesi ya msingi isikilizwe, hilo tu linatosha sana kuiamsha hii serikali ya matukio na kukurupuka kuwa kuna utawala wa sheria, na kila mtu ana haki ya kusikilizwa hata kama ni mkosaji, I wish the same iapply kwa watumishi waliosimamishwa kazi ghafla na wanasiasa bila kusikilizwa,
 
Back
Top Bottom