Mbunge Olesendeka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge Olesendeka

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Loltimigomi, Mar 3, 2009.

 1. L

  Loltimigomi New Member

  #1
  Mar 3, 2009
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pAMOJA NA KUBWEKA BUNGENI KUPIGA VITA UFISADI LAKINI YEYE MWENYEWE NI FISADI NAMBA MOJA KWA KUUZA ARDHI JIMBONI KWAKE WAKATI HUO AKIWA DIWANI. KUTEUA VIONGOZI MATAAHIRA KATIKA NAFASI MBALIMBALI NDANI YA CHAMA NA KUWAKATA MAJINA WATU WENYE SIFA NA WANAOHITAJIKA NA JAMII. HUYU NI MTU HOVYO SANA, WATU WA NJE HAWAMFAHAMU LAKINI WENYEJI WANAMPATA VYEMA. FANYENI ANALYSIS ON THIS MATTER!!
   
 2. 911

  911 Platinum Member

  #2
  Mar 3, 2009
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  Wewe unayeleta habari ndo ufanye analysis na uje na facts.Ksha tuzijadili.Hizi habari za kuja na allegations zisizo na mashiko ndo huwa zinaitwa siasa za majitaka.No research no right to speak.
  I ll be against ur post unless u or somebody else comes with the facts to prove it.
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,580
  Likes Received: 1,942
  Trophy Points: 280
  911 i agree with you,ni lazima aje na facts zinazoonyesha kuwa wananchi walimchagua kimakosa....Kwasababu anaposema watu wa nje hawamfahamu lakini wenyeji wanampata inatia shaka kwani hao wenyeji wenye kumpata ndio walimchaguwa...So more info pls.
   
 4. 911

  911 Platinum Member

  #4
  Mar 3, 2009
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  My suggestion ni kuwa pawekwe jukwaa maalumu la 'TETESI' ili hizi zinazoitwa tetesi ziwe znakaa hapo prior confirmation.Vinginevyo JF itakuja geuka kuwa kama kijiwe cha kahawa,and we cannot allow that!
  Hili la where we dare...Lisije likawa overlooked.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0

  Au wewe ni mmoja wa hao wenye sifa ''waliokatwa majina''? ndio usongo umekuleta hapa?
   
 6. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,580
  Likes Received: 1,942
  Trophy Points: 280
  Don't worry wataipeleka kwenye celebrity forums eventually so kuwa mvumilivu na tusubiri kama mwenye mada ataleta more facts ama kama atapata msaada huo kutoka kwa member wengine.
   
 7. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  This is not correct in my humble opinion. Kama mtu hana facts hasa zinazohusu kuchafua au kupamba jina la mtu ni bora asiweke kabisa hapa. Inaweza kuwa tetesi, kwa hiyo nani athibitishe wakati anayetoa allegations ameshindwa kuthibitisha kutoka vyanzo vyake vya habari? Hii ikiachwa iendelee itafanya watu waje kwa malengo tofauti ya kuchafua au kuwapamba watu hapa, na hapo JF itapoteza credibility yake. Na kwa kuwa politics zina mambo mengi, hatuwezi kuthibitisha kama aliyeleta tetesi hapa si adui au rafiki wa mhusika anayesema. Impact ya mjadala wa hapa inaweza kuwa kubwa kwenye jamii, hasa kama facts na maturity hazizingatiwi katika mijadala inayoanza kama huu. Siwezi kuelewa lengo la mtu aliyeposti tetesi hii ni nini, inaonekana kuna agenda fulani, kama sivyo alete facts zinazothibitisha jambo hili, otherwise fact kwamba Ole Sendeka aliweza kusimama kidete kupinga ufisadi waziwazi Bungeni inasimama mpaka sasa, so give us the other side of Ole Sendeka and be brave to prove what u r saying!
   
 8. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Si msubirini huko huko karibu atakuja tena ,maana hapa tukimlia dipu akiondolewa mtampokea kwa mazulia meupe , dawa sasa si kumchagua yeye tu bali hata chama chake msikipe tena kura maana walioko kwenye Chama hicho wote ni mapepe.
   
 9. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Msimashambulie sana kaka/dada wa watu...maana mara nyingi hizo tetesi huwa zinakuwa na ukweli ndani yake sema tuu yeye alikosea hakuja na strong evidence ...i think katika kufanya research yake akafikia sehemu akashindwa kupata proof and at last akaona awaachie nyie mabingwa hahahaha kazi kweli kweli.....

  Hivyo je tutafika??..maana kila kiongozi these days in Tanzania ni FISADI...Viongozi walikuwa enzi hizo za Nyerere na lil bit uongozi wa mwinyi...Serikali yetu imeoza sana sana...na inatia aibu...
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ewe Loltimigomi;

  Natumai u-mzima wa afya na unaendelea vizuri na kazi za ujenzi wa taifa lako na huko kitongojini kwako.

  Ushauri wangu kwako mtanzania mwenzangu... "Hata kama unahongwa shilingi ngapi au ngombe wangapi, kamwe usiuze utu wako na kutumika kama ng'ombe au ngamia kuleta habari ambazo hata wewe mwenyewe hujaziumbia kichwa wala miguu" Pesa zao chukua na hekima zako kaa nazo mwenyewe usiwape hao kamwe

  Hivyo basi either nenda ukachunguze wewe maana hakuna wa kukusaidia or endelea kula kama wanakupa chochote na ubaki kwenye vioski vya kahawa au bar ukipiga soga

  Wewe umebarikiwa sana
   
 11. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  This has reminded me of the wise words by MALCOM X on January,1 1965 I hope they can serve as an advice to all JF members

  "One of the first things I think Young People, especially nowadays, should learn how to do is to see for yourself. Then you can come to an intelligent decision yourself. But if you form the habit of going by what others say about someone, instead of going and searching that thing out for yourself, and seeing for yourself, you'll be walking west when you think you are going east, and you'll be walking east when you think you're going west..... The most important thing we can learn how to do today is think for ourselves"
   
  Last edited: Mar 5, 2009
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  You're right man Loltimigomi ni mzushi hana substance! ndo post ya kwanza!
   
 13. U

  Umushoshoro Senior Member

  #13
  Mar 4, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 121
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Join Date
  3rd March 2009
  Total Posts
  1

  Ile pyee kaanza na shuti

  Bahati mbaya kishuti mtoto,siku nyingine uje kamili bwana mdogo usilete utoto humu
   
 14. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,841
  Likes Received: 1,101
  Trophy Points: 280
  katumwa huyu, sasa hata hajui kwamba hapa tunaongea kwa hoja tena zenye ushahidi. eti kauza ardhi bila kusema ardhi ya wapi na kiasi gani na ameuza kwa nani. Pili eti amechagua viongozi matahira, bila kuwataja ni kina nani na wamepewa nafasi zipi. JF siyo jukwaa la kuwachafua watu, ni jukwaa la kujenga nchi. ...apeleke hizo habari kwenye udaku.
   
 15. Companero

  Companero Platinum Member

  #15
  Mar 4, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Wahenga walinena 'lisemwalo lipo kama halipo linakuja'!
   
 16. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Haya mamisemo ya wahenga kuna nyakati tunatakiwa kuyatumia na nyakati nyingine kuyaacha. Sio kila lisemwalo lilitokea.

  Tunaomba basi ukileta kitu uwe japo na mifano hai. Manake kila mtu akija hapa JF na kutupa shutuma kwa amtakaye bila kutoa mifano hai hapatatosha. Unaweza uwe na ukweli kwa hili, ila kwa kuwa unasema watu wa nje hawamfahamu, wewe wa ndani tusaidie tumfahamu. Manake katika mapambano hatumuangalii mtu usoni wala jina, bali tunaangalia aliye pamoja nasi wakati huo wa mpambano. Kwa kuanza tu bila kuuma maneno naweza sema UMETUMWA na uMZUSHI, mpaka pale utakapokuja kuweka ukweli wa uliyoyaandika.
   
 17. Companero

  Companero Platinum Member

  #17
  Mar 4, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Harika,avae hii misemo ya wafumwa ina maana zaidi ya moja kwa sababu huwa inabeba maana pana mathalani inaweza kumaanisha lisemwalo linakuja hivyo lizuie lisije!
   
 18. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #18
  Mar 4, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Nakubalia nawe Kelly, huyu asishambuliwe sana, History yake hapa chini inathibitisha. Makaribisheni kwa uzuri....

  Join Date: Tue Mar 2009
  Posts: 1
  Rep Power: 0
  Thanks: 0
  Thanked 0 Times in 0 Posts
  Credits: 264
   
 19. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Au kajiunga kwa lengo hilo tu kumchafua Olesendeka. Pole bana hapa jamaa ni vichwa tupu hauwezi kuwapeleka chaka kiurahisi hivyo..rudi jipange na achana na mambo ya kushambulia watu leta hoja.
   
Loading...