Mbunge Ole Milya amtuhumu RC Mnyeti kwa rushwa, ahoji ukaribu wake na kampuni ya Tz One, Mnyeti Ajibu mapigo

Mnyeti ni wa RC wa Manyara! Ila mmoja mteule wa Rais mwingine mwakilishi wa wananchi nadhani Kuna mmoja amevamia majukumu ya mwingine.
 
Kutofautiana kazini mambo ya kawaida

Mie nasubiria tu ahadi ya Musiba kukuza Makalio ya Januari, Zitto na Mzee Membe

Nawaza kimwili kile cha Januari kibebe kifungashio kama cha Governor sijui itakuaje maana Musiba sio mtu muongo muongo huwa anafanya kweli
 
maana za kuambiwa
IMG_20190529_155156.jpg
 
Ni dalili nzuri mdogomdogo tunaanza kubadilika kusema yanayokukera bila woga wala kuangalia cheo,chama chako n.k
 
Afilisiwe ki team chake cha GWAMBINA

Siyo kitimu amejenga uwanja kwa bilioni tatu misungwi ni uwekezaji mkubwa amenunu timu ya Arusha united kwa mamilioni
Anajenga hoteli nyota 5 kwa ajili ya timu na watazamaji
Nilikuwepo siku ya uzinduzi jamaa ni hatari
Alileta wafanyabiashara wakubwa wa madini karibu wote
 
Duu awamu ya sita kutakuwa na shughuli kubwa sana ya watu kuwekwa ndani kufilisiwa mali walizopora kupitia awamu ya tano
 
Back
Top Bottom