Mbunge Nyambari Nyangwine aiomba serikali isaidie katika kilimo cha bangi

Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,416
12,604
Hii imetokea katika Bunge la leo ambapo Mh Mbunge huyo alikuwa anachangia bajeti iliyoletwa na waziri wa fedha, katika mchango huo alitaja jinsi jimbo lake lilivyojaliwa kuwa na natural resources kama madini ikiwemo na ardhi yenye rutuba inayokubali kilimo cha mazao mbalimbali ikiwemo bangi na hivyo kuiomba serikali itoe msaada katika ufanikishaji wa kilimo hiko.
 
Bosi hii ni kweli bosi, na baada ya yeye kumaliza mchango wake mwenyekiti alimwambia serilali itasaidia mengine yote isipokuwa kilimo cha bangi.
Poleni wana Tarime kwa kuwa na mbunge mwenye muono mdogo, hivi amekosa ya kuongea mpaka aeleze kilimo cha bangi huku akijua bangi ni mbaya na ina madhara mengi. Naona labda huyu amejaliwa watoto wa kike tu, hivi angejikiaje mwanae wa kiume akienda jela kisa bangi? Amevuta ikampeleka puta akabaka au tendo lolote linaangukia katika jinai kisha akala mvua, angeisifu kweli?
Bangi mbaya labda alikuwa ameshavuta, ningekuwa mwenyekiti ningeamuru akapimwe hospitalini kisha chumba chake kikanyiwe special search kuona kama kuna bangi
 
labda bangi wao wanatumia kama mboga zaidi kuliko kuvuta .
 
Back
Top Bottom