Andrew Nyerere JF-Expert Member Nov 10, 2008 3,007 2,445 May 22, 2016 #1 Mheshimiwa Mkono amelazwa hospitali.
Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 39,981 96,229 May 22, 2016 #3 Mhhhhhh.... Ebu ngoja pakuche kwanza ndipo nitasema lolote
swissme JF-Expert Member Aug 15, 2013 13,663 19,891 May 22, 2016 #7 yuko na irizi lazima mumsach. swissme
Mchumia Rungu JF-Expert Member Apr 26, 2013 1,437 825 May 22, 2016 #9 Mwanapropaganda said: Anaumwa nini? Click to expand... Siku hizi, ugonjwa si Siri tena ya mgonjwa na Daktari anayemtibu? Na ukijua unachoumwa?
Mwanapropaganda said: Anaumwa nini? Click to expand... Siku hizi, ugonjwa si Siri tena ya mgonjwa na Daktari anayemtibu? Na ukijua unachoumwa?
K kenda ur Member May 15, 2016 5 1 May 22, 2016 #10 pole yake, Mungu ampe afya haraka akawawakilishe wanachi wa jimbo lake
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,034 May 22, 2016 #11 Sijamsikia muda mrefu sasa, poleni tunamuombea kwa Mungu apone haraka
Chumchang Changchum JF-Expert Member Nov 1, 2013 5,930 6,155 May 22, 2016 #12 Mwenyezi Mungu amponyeshe alaka na kurudi ktk majukumu yake....
M mgeni wenu JF-Expert Member Jan 2, 2012 3,664 1,730 May 22, 2016 #14 Mungu amponye haraka,amuepushe a hila ziraili toa roho
Mingoi JF-Expert Member Jul 21, 2012 11,715 6,121 May 22, 2016 #19 Mwanapropaganda said: Anaumwa nini? Click to expand... HOFU
B bdo JF-Expert Member Nov 20, 2006 5,809 2,422 May 22, 2016 #20 dudus said: Mkono ni mbunge? Wa jimbo gani? Click to expand... Jimbo la Butiama