Mbunge Nassari Joshua sasa kupelekwa mhimbili

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Ameandikiwa rufaa aende muhimbili kwa matibabu zaidi, lakini pia hali ya Arusha sio shwari ikiwemo hospital ya Selian ambapo wanusalama wasiojitambulisha wamezagaa wakijaribu kuingia kwenye baadhi ya wodi na vurugu za polisi dhidi ya Raia. Madaktari wameona Dar ni Bora zaidi. Ofisi ya Bunge inaratibu matibabu.
 
Kama kawaida waliofanya Uhuni huu bila shaka hawajakamatwa na hawatakamatwa.Cha kufurahisha ni kwamba Wananchi wanajua wanaowatuma na kuwalinda Wahalifu hawa.Kwa kuwa Madaktari nao Wanamjua Adui wa Watanzania,watamtibu kwa Moyo Mmoja Kamanda ili apone haraka arudi kuwatetea.
 
Waalifu wanafahamika polisi wanawaficha,kama hili la mabomu haya mabomu wanajua kabisa yameletwa china na mwigulu nchembe.Mwezi mei yote alikuwa china na baadhi ya vijana wakipata mafunzo ya kijeshi.
 
Mwigulu+china trip may-2013+uchunguzi wa bomb awali+msipochagua ccm arusha mtakufa=aliyelipua bomb soweto ni Mwigulu Nchemba anamjua

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mbona serikali haielezi Nassari aliumizwa na nani? na kwaanini waliofanya ubazazi huo hawajatiwa nguvuni
 
Dr Dlaa
Tulianza na Mungu
Tunaendele na Mungu na tutamaliza na Mungu..
 
Kama kawaida waliofanya Uhuni huu bila shaka hawajakamatwa na hawatakamatwa.Cha kufurahisha ni kwamba Wananchi wanajua wanaowatuma na kuwalinda Wahalifu hawa.Kwa kuwa Madaktari nao Wanamjua Adui wa Watanzania,watamtibu kwa Moyo Mmoja Kamanda ili apone haraka arudi kuwatetea.

Ni Chagonja yupi wa kuwakamata wakati yupo anaendelea kuramba soli za Mwigulu Mshirikina M-tick tak!
 
mbona serikali haielezi Nassari aliumizwa na nani? na kwaanini waliofanya ubazazi huo hawajatiwa nguvuni

Labda waliompiga Nasari ni watu ambao no Invisibles maana sijasikia hata huyu mjamzito chagonja akiwaulizia!
 
wameru jana walichachama na kupelekea kulata bomba la kupeleka maji monduli kwa lowasa hii inamaana ccm kwa tamaa zao za madaraka watatipeleka kwenye vita ya ukabila au ya udini siku si nyingi...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom