Mbunge na mkuu wa mkoa nani mwenye mshahara mkubwa?

TEZIJIKE 2

Senior Member
Nov 18, 2019
160
1,000
Wakuu humu jf naomba kuuliza na mwenye mshahara mkubwa kati ya mbunge na mkuu wa mkoa?.
Kwa mujibu wa mbunge wa jimbo la sumve mshahara wa mbunge ni milion 11 na point bado na miposho ya laki tatu ya kila kikao bado mfuko wa jimbo anaweza pia nufaika nao hapo mkuu wa mkoa sidhani kama anaweza fua dafu makonda na gambo wasinge kimbilia huko pia ukuu wa mkoa mda wowote unapoteza
 
kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
288
250

Namaanisha mshahara mkuu? Sio posho zakee
 
kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
288
250
Hayo mambo ya mishahara yamepitwa na wakati uliza nani anaingiza helanyingi kwa mwezi, jibu ni mbunge. RC sidhani kama anaweza gonga 6 kwa mwezi wakati MP ni 11+
Wew mwenye hayo mawazo wakat imeshakupita polee sana
 
Odhiambo cairo

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
13,818
2,000
Bainisha umejibu kwa ujumla
Ki masilahi mbunge yuko vizuri na kazi si ngumu sana. Na bado anazo privileges nyingi ikiwemo kamati za bunge, uteuzi na safari za kujifunza ndani na nje.

RC . Mkuu wa mkoa ana madaraka makubwa ya kiutawala. Ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa husika. Na ndiye Rais wa mkoa husika. Lakini mbunge ana masilahi makubwa kwa kuwa wanajitungia masilahi yao ki kanuni

Odhis *
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom