Kitendo chenu cha kuhudhuria siku ya wafanyakazi pale ushirika ni kizuri na cha kiungwana mnaonekana mmekomaa kisiasa kwasababu watu walidhani kwamba kwa kuwa mlizuiliwa kuonana na mh rais jama basi mngekasirika na kususia zoezi la Leo ila hamkufanya hivo na badala yake mmekwenda hiyo inaonesha ukomavu wa kisiasa