Ndg wadau,nawasalim nyote.
Naleta mada ya kuanika yote aliyoyafanya mbunge wako au diwan mpk sasa.
Kwanza naanza kwa kueleaza kwa majimbo 3 ya karib kwangu kama jimbo la ole medeye, johua nasari,na god lema.
Kwanza naanza na jimbo la arusha vijijin kwa gudluck ole medeye.hyu jamaa alichofanya cha zaid ni kuipa tu jina shule ya sec jina lake iliyopo marurani kata ya nduruma, kaipa jina lake la medeye sec school.baada ya hapo hakuna cha maana alichofanya huyu bwana zaid ya kukimbilia dar na kuacha jimbo,huku akiibuka kwenye chaguz ndogo kwa kuwagombanisha makabila.
Barabara ya kwenda kwake ni vumbi hujawah ona..hakuna huduma muhim kama maji hasa kwa kata kama za nduruma,bwawani,ngaramtoni juu etc.kuna shule inaitwa ngiresi aliahid maabara,ameshindwa kuitekeleza..mh fanya kaz uliyotumwa acha ukabila.
Joshua Nasar kajitahid sana japo muda mfupi,amegawa vitabu mashuleni,kajenga shule ya sec,kawasomesha watoto yatima,ametetea wanachi kuhusu mashamba yao.,amechimba visima baadhi ya vijiji kama ngabobo,isipokuwa kata ya madiwan wa ccm walioweka pingamiz kuzuia kuchimbwa visima etc..
Arusha mjini pamoja na kusumbuliwa na serikali asifanye kazi kwa muda mrefu,mh lema alijitahid kununua trekta la wakulima,ambulace la wagonjwa,kusomesha watoto yatima zaid ya elfu 3,kusimamia wizi na ubadhirifu wa pesa za uma kupitia vikao vya halmashaur kwa kusaidiwa na madiwan wa cdm..lema amewajengea ujasir wananchi wa arusha na kuondoa woga...na mengine mengi tu..
Jimbon kwa edward lowasa.kwa kias barabara ni nzur tu monduli mjhini lakin kwa undan hakuna kitu...watu wanashangaa pesa za makanisan vp wakat jimbon bado haijawa kama marekani.
Napenda kuwaasa wabunge na madiwani ambao hawafany kaz wakumbuke kuwa,mwaka wa 2015 hawatarudi hata wakitumia njia za mkato.
Nawe pia waweza kuchangia kwa kueleza aliyoyafanya mbunge wako,kama hakuna eleza pia.pengine watajirekebisha kwa muda uliobaki.kumbuka sisi ndo walipa kodi na wapga kura,huna sabab ya kuogopa. Asanteni