Mbunge na diwani wako kafanya nini jimboni mpaka sasa?

mbunge wangu Rweikiza hakuna ninachokiona zaidi ya kujitahid wananchi bk vijijini waendelee kuwa mbumbumbu ili magamba izidi kupeta.
Diwani wangu wa Karabagaine mzee Makwabe ndo kabisa hali mbaya.vyanzo vya maji vya asili vimekauka kata nzima hata hilo limemshinda kuhimiza wananchi vikatunza.Hakuna anachofanya zaidi ya kila leo kuwapgia simu wale wanaotaka kumuondoa 2015.
 
Diwani simjui kwa kweli mwenyekiti hali kadhalika lkn balozi Wangu ni jirani yangu hapa yeye anajitahidi anauza gongo
 
Mm naona hadi aibu kutaja jimbo langu lkn kwa sababu mada inaheat ngoja tu niseme. Mm natoka jimbo la mzee wa kusinzia bungeni....mnamjua. Wasira. Kutoka Bunda mjini hadi ziwani ni km 12 tu lkn hadi kesho hakuna maji ya bomba au hata dalili ya bomba! Shame on you Wasira!
 
Wewe kasema useme ubunge na diwani wako alichofanya ajasema ujibu alichofanya Lema.Kwanza kazi yakujenga shule sio ya mbunge ni ya serekali tunapolipa kodi so hayo mashule mabovu ni serekali ndiyo inawajibika.
Na wewe mara ya mwisho kuchangia hata nguvu kazi kwenye mtaa wako au shule zilizo jirani na wewe ni ushafanya kweli au ndiyo wale wale unasubiri serekali mpk ikupe ajira.Come on wake up acha kuwa mzigo.Kuna rais mmoja wa marekani alisema ''JIULIZE UMEIFANYIA NCHI YAKO NINI SIO NCHI YAKO IMEKUFANYIA NINI''
Na usipoangalia utalalamika hivyo hivyo mpk siku unakufa...............................?

Km kijana unayejitambua na kufkr kwa fikra pana huwezi ukawa mfuasi wa na mshangiliaji wa mtu ambae hana impact,mwangalie mleta maada anavyoshabikia wabunge wa Arusha mjini na Arumeru na kubeza maendeleo ya Monduli,si huo ni ujinga?
Na mimi nakubaliana na mtu yeyote mwenye mawazo chanya yasio na political influences,Je,Nasari amefanya nini cha kujivunia kumpita Lowasa? Najua kila mtu ana mapungufu yake lakin kuleta mambo ya ushabiki yasio na faida ni hasara kwa kizazi chetu hiki!
Tafadhari jitambue kaka na uache unazi wa CCM na CDM,utapotea!
 
Acha umbea wewe,
Unaijua Arusha au unaisikia tu neno Arusha?
Kwa taarifa yako Arusha wanaishi wanaume kamili na sio wabanapua kama wewe.

Arusha ina wenyewe na wenyewe ndio sisi na Mb wetu lema, tuna maisha yetu, lugha yetu, life stly zetu,mapigo yetu,pozi zetu,mambo yetu. Hivyo wakuja akileta za kuleta anajulikana mapema.

Alafu hiyo biashara ya utalii unayoilalamikia unaijua?
Ebu tueleze utalii ni nini?
Orodhesha angalau kampuni 10 tu zinazojiusisha na biashara ya utalii hapa Arusha?

Duh! Pozi zenu ndo zimemharibu mbuge wenu,ARUSHA! kaka unaishi mitaa gani siku moja tuonane nizijue hizo pozi zako?
 
Acha umbea wewe,
Unaijua Arusha au unaisikia tu neno Arusha?
Kwa taarifa yako Arusha wanaishi wanaume kamili na sio wabanapua kama wewe.

Arusha ina wenyewe na wenyewe ndio sisi na Mb wetu lema, tuna maisha yetu, lugha yetu, life stly zetu,mapigo yetu,pozi zetu,mambo yetu. Hivyo wakuja akileta za kuleta anajulikana mapema.

Alafu hiyo biashara ya utalii unayoilalamikia unaijua?
Ebu tueleze utalii ni nini?
Orodhesha angalau kampuni 10 tu zinazojiusisha na biashara ya utalii hapa Arusha?

Mimi nimezaliwa HAPA, MIAKA 43 iliyopita,na huo usela pori mnaouleta mjini kwetu, wengi hatuusapoti, muulize LEMA mara yake ya kwanza kufika Arusha ni lini nikwambie nilikuwa wapi wakati huo, Mimi mwenyewe ni mmiliki wa kampuni ya TOURS mjini hapa na nimeajiri vijana wapatao 14, Nawaonea huruma sana vijana mnaofata mkumbo bila kujua mkifanyacho kina athari gani kiuchumi na kiutamaduni.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom