Mbunge Musukuma akataa kuiacha simu yake ya miaka 10, asema hataki ulimbukeni

Hicho ndo kitu pekee anaweza kutuambia kwa sasa baada ya kukimbizwa mchakamchaka na RPC wa Geita. RPC wa Geita alichokifanya kilimshinda Sirro kwa Makonda, ni kitendo ambacho hata mkuu wa magogoni angesema 'huyu ndiye mwanaume'!
 
Masikini ni masikini tu,
Hata ukimletea Maji ya bomba na choo ukamjengea lkn bado ataenda kujisaidia ziwani kisha ataogea maji hayohayo ya ziwani na baadae atavua samaki ataondoka nao kama kitoweo
 
Maajabu ya dunia yapo Tanzania ila wanasingizia kuwa yapo ulaya mara mashariki ya mbali (Asia)

Kweli dunia ni hadaa... Na siasa ni asasi.
 
mbunge wa geita Msukuma Kasheku ni mbunge maarufu sana amesema anafurahia kutumia simu yake ya mkononi ya zamani iliyofungwa na rubber band,

sababu ni kwamba hataki ulimbukeni,
si fisadi na hapelekwi na mihemko ya fasion, ona simu yake kupitia video chini


Kama anajifanya yeye anatumia vitu vya zamani mbona ana gari na saa ya kisasa?
 
Back
Top Bottom