Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

Huyu dada alikuwa mbunge wa viti maalum. Siyo mara ya kwanza kuwa mbunge na hivyo sioni ugumu kwake ku sacrifice hiyo nafasi kwa ajili ya kusimamia anachokiamini
Utajuaje kama ni msimamo wake kwa anachokiamini au hufanya hivyo kwa kuhofia kuonekana mnafki kwenye chama?
 
Kwani huyu sister ni mchawi kiasi cha kuwafanya wezi wa kura waogope kuiba kura zake au huu ndiyo ushahidi kwamba wanaodai kuibiwa kura ni wafamaji tu?
Huo ni ushahidi kwamba wabunge wa upinzani huwa wanashinda ubunge kwa kupewa tu na ccm ila safari hii wenyewe wameamua kuchukua viti vyao na kuamua kumpa tu huyo mdada.
 
Kuna tofauti kubwa baina ya sanduku la kura na sanduku la wizi.

Wewe unaongelea sanduku la wizi jombi. Huoni si bashiri wala chakubanga waliojitokeza hata kuonyesha nyuso zao tu hadharani?

"The guilty are always afraid.'
Mkuu wakati ule unatamba kabisa kuwa safari hii lazima ccm atoke madarakani hukuwa unajua kwamba hayo ya sanduku la wizi?au ulikuwa unajifurahisha tu.
 
Utajuaje kama ni msimamo wake kwa anachokiamini au hufanya hivyo kwa kuhofia kuonekana mnafki kwenye chama?
Yaani nyie ccm kwa sasa mnajua hisia za wana chadema kuliko chadema wenyewe🤣🤣🤣🤣

Kwa nn mnataka sana aende bungeni? Si huwa mnawafukuza? Huu upendo umetoka wapi?
 
Kwanza mie sio mshabiki wa vyama vya siasa kabisa.

Huyo kachaguliwa na wananchi na hao ndio anatakiwa akawatumikie maana huko bungeni sio kijiwe cha chama kwamba alikuwa anaenda kupiga story na wanachadema wenzake.
 
Uko sahihi kabisa
 
Kasema mwenyewe haendi. Tuheshimu mawazo yake
 
Anageresha tuu ila deep down haamini maana kwa jinsi Watanzania walivyopania kuufuta upinzani anajiona mwenye bahati sana.

Hongera Magufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA.
 
Back
Top Bottom