Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

Anataka kususa ubunge? Kwa hiyo ktk shule darasa lako zima limefeli mtihani, mmoja tu kafaulu, na yule aliyefaulu anakataa matokeo na kususa kuungana na wenzake walio feli? Duh, basi afanye hivyo.
Unateseka?....we unaona kuna ubunge hapo zaidi ya upumbavu...
CCM wabaki wenyewe...kijani tupu
 
Kama msimamo huo ndio utakuwa nao hadi mwisho, historia ya nchi hii itakukumbuka kuwa mzalendo wa nchi yako.
 
Huwezi kuwaachia ngedere shamba. Utavuna mabua!

CHADEMA on the verge of repeating the same mistake. Hii strategy ya kususa mwisho wake huwa ni mbaya - almost always!
Kweli kabisa ,km wananchi wamekuamini sioni mantiki ya kususa kwaajili ya tofauti ya itikadi!huku ni kiwavunja moyo waliokuchagua ,sasa ni wakati muafaka wa yeye kwenda kuwakilisha madai yao kwenye baraza la kutunga sheria.
 
Mnyapara wa barabara kawa tena rais, nchi ina shida hii, wajanja ndio tunaoona.
 
Nimempenda huyo mdada aisee ana msimamo thabiti sana kuhusu Chadema. Angekuwa ni mmoja wa wale wanasiasa Malaya Malaya angepatwa na kigugumizi.
Kwahiyo wewe unafurahia kwamba ana msimamo kwa chama chake na si kwa wapiga kura wake?
 
Back
Top Bottom