Mbunge Mteule wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (CHADEMA) atoa tamko kuhusu ushindi wake

Ha ha ha ,.asije akakubali kushawishiwa kizembe,.mbowe ye Bado ataendelea kula mshahara wa mwenyekiti wa chama..
Tatizo Mbowe kinamuuma Sana, iweje yeye akose halafu apate aliyekuwa viti maalum wake? Atapataje mwanamke yeye akose!
Kwa vile anajua
 
Chadema na Act wapuuzi Sana aisee!!

2015, waliingia ulingoni wagombea takriban kila Jimbo waliweka mtu, cha kushangaza, Zito akashinda pekee yake, Kwa nini wale walioshindwa hawakumwambia Zitto ajihudhuru ubunge kama anavyowaambia wenzake Leo Kwa vile yeye kashindwa??

Tuna vyama pinzani vyevye watu wapenda pesa kuliko hata maisha Yao wenyewe!!

Na watulie waendelee kunyolewa na wembe Wa JPM ni mkali vibaya
 
Kunyolewa kwa matokeo ya mfukoni
 
Atafutwa uanachama then akaunge juhudi apewe bila kupingwa arudi Kama ccm ambae yule TISS mwenzao wa CUF
 
Huyu Dada ubunge wa viti maalum ulifanya mpaka kumkacha mumewe, Mbowe Mungu anakuona. Ulitegemea afurahi?.
Wanawake wengi ukimbilia kuolewa sababu ya maisha magumu ya na awajui nn maana ya ndoa wakijimudu tu kiuchumi mume si kitu ni Takataka kwao,uishia kuzaa hovyo na kuwa na watoto mseto,kila mtoto na baba yake.
 
Mfano wa kitoto usioendana na hali halisi. Kama wenzake walifelishwa kwa makusudi kwanini yeye afurahie kufaulu peke yake?
Alienda shule kwa faida yake au ya wenzake?
Shule alitumia akili yake au ya wenzake?

Am hero to my own
 
Back
Top Bottom