Mbunge Msigwa wasaidie wafanyabiashara wa nyanya wa Ilula wanasema ni heri kujinyonga!!

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Nimewasikia wafanyabiashara kupitia Redio Free Africa Leo asubuhi wa nyanya wa Ilula wanalalamika kuwa biashara ya nyanya imekuwa ngumu na heri hata kujinyonga kuliko Kuna nyanya zinaharibika.

Mbunge Mch Msigwa wasaidie hao wafanyabiashara ili biashara hiyo iwape mafanikio kama zamani.
 
Unataka awape nini???
 
KABLA YA KUFANYA INVESTMENT YOYOTE ILE NI LAZIMA KWANZA UWE UMEFANYA UTAFITI WA MASOKO KWANZA
Soko lilikuwa imara limeanza kuyumba mwaka jana bana kama ambavyo biashara nyingine zilivyoyumba,,,,,, ni wajibu wa serikali kuingilia kati kuwasaidia hata kutafuta masoko nje ya nchi,,,,,, kilimo hicho hawajaanza leo
 
nimekusoma mkuu
 
Nimewasikia wafanyabiashara kupitia Redio Free Africa Leo asubuhi wa nyanya wa Ilula wanalalamika kuwa biashara ya nyanya imekuwa ngumu na heri hata kujinyonga kuliko Kuna nyanya zinaharibika.

Mbunge Mch Msigwa wasaidie hao wafanyabiashara ili biashara hiyo iwape mafanikio kama zamani.
Msigwa anahusika na iringa manispaa mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Ftc
Nimewasikia wafanyabiashara kupitia Redio Free Africa Leo asubuhi wa nyanya wa Ilula wanalalamika kuwa biashara ya nyanya imekuwa ngumu na heri hata kujinyonga kuliko Kuna nyanya zinaharibika.

Mbunge Mch Msigwa wasaidie hao wafanyabiashara ili biashara hiyo iwape mafanikio kama zamani.
Msigwa analitoa wapi hilo soko la nyanya, huenda naye pia ana shamba huko!
 
ila kuna kipindi nyanya zilishuka sana, ndoo nzima ilikuwa unapata kwa 5000 pale ilala
 
Tupo kwenye kipindi kizuri kwa kuwa serikali hii sera yake ni Viwanda.. Sehemu kama hizi walitakiwa wafundishwe njia rahisi za kuhifadhi, kutunza na kuchakata nyanya ili zidumu kwa muda mrefu na ziongezeke thamani. Hakuna haja sana kuendelea kulitizama soko la ndani wakati soko la nje ni kubwa. Tunahitaji uthubutu tu.
 
Uthubutu wetu unaishia kwenye makaratasi.
 
Soko lilikuwa imara limeanza kuyumba mwaka jana bana kama ambavyo biashara nyingine zilivyoyumba,,,,,, ni wajibu wa serikali kuingilia kati kuwasaidia hata kutafuta masoko nje ya nchi,,,,,, kilimo hicho hawajaanza leo

Kwahiyo Msigwa ni serikali?
 
Msigwa 2.jpg
mfano Mzuri kwa wafanyabiashara wa nyanya
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom