Mbunge Msigwa aikwaza CCM kwa kuweka wazi viongozi wa CCM kuhusika na ujangili wanyamapori

why

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
203
82
Mbunge wa iringa mjini aikwaza CCM na kuitwa kamati ya maadili kwa kisingizio kuwa amelidanganya bunge. Ni pale alipotaja washiriki wa ujangili wa wanyamapori wakiwemo viongozi wa CCM na serikali.
 
KIla ukitajwa UFISADI badala ya CCM kuchunguza tuhuma na kuchukua hatua, hukimbilia kuwaita watoa UFISADI kwenye kamati ya haki kinga na maadili kama njia ya kuwanyamazisha wafichua ufisadi. (ref kesi ya TL na wabunge wala Rushwa)

Je Sisi Wananchi wa kawaida tueleweje?

SIMPLE CONCLUSION: CCM na UFISADI ni chanda na pete
 
Hapa ndio huwa najiuliza sana kwa wale ambao husema lukuvi ni kiongoza mzalendo wakati ndie bingwa wa kupotosha ukweli na kuficha uovu wa serikali pale anaposimama kidete na kutetea udhaifu wa serikali ya ccm.jamani watanzania tuamke mana hawa jamaa wna mtandao wa kuuza rasilimali zetu ili waweze kupata fedha za uchaguzi na kuendelea kuiba hizi rasilimali.
 
Hii kamati hata sioni umuhimu wake kwani wabunge wenyewe hawana hayo maadili. Nimesikitika sana kusikia toka kwa naibu spika kuwa kuna wabunge wanaoingia bungeni wakiwa wamevuta bangi. Ukijumlisha na rushwa wanazopokea kila siku unabaki unashangaa kama hii kamati kazi yake ni kusimamia haki ya wabunge kuvuta bangi na kupokea rushwa.
 
Aiseeeee baba yangu mi simwamini lukuvi hata kidogo manake wale twiga walifikaje uwarabuni????

Mama manka mbege ya leo si mche si mchezo kweli
 
Lukuvi alishawahi kutajwa kama miongoni mwa vigogo waliojipatia vibali kwa ajiri ya kuvuna mbao na yeye akajitetea alichukua kwa ajili ya shule za jimboni kwake hivyo kuna muingiliano wa maslahi binafsi
 
Mkuu weka u-tube tumsikie wengine hatukupata nafasi ya kumsikia.
 
Hii kamati ya maadili ingehusika zaidi na kuondoa lugha za ushemeji na kuwasaidia wabunge kulinda ndoa zao na kuacha kuharibu wadada zetu wa UDOM, CBE na Chuo cha Mipango pamoja na kuiba waume wa wamama zetu.. tch
 
Hapa ndio huwa najiuliza sana kwa wale ambao husema lukuvi ni kiongoza mzalendo wakati ndie bingwa wa kupotosha ukweli na kuficha uovu wa serikali pale anaposimama kidete na kutetea udhaifu wa serikali ya ccm.jamani watanzania tuamke mana hawa jamaa wna mtandao wa kuuza rasilimali zetu ili waweze kupata fedha za uchaguzi na kuendelea kuiba hizi rasilimali.

hakuna kiongozi mzalendo kwa ccm hii iliyopo leo. hawa kina Vangimembe Lukuvi wote wasanii tu, wanafaa kusikilizwa na familia zao na ndugu zao tu ambao ndo wanaiba na kuwatunzia hayo mamilion ili waishi maisha ya peponi wakiwa hapahapa duniani. believe me, hawa jamaa wamejipanga kuteteana kwa gharama yoyote. cha msingi hapa tujipangeni kuing'oa ccm madarakani.
 
hii kamati hata sioni umuhimu wake kwani wabunge wenyewe hawana hayo maadili. Nimesikitika sana kusikia toka kwa naibu spika kuwa kuna wabunge wanaoingia bungeni wakiwa wamevuta bangi. Ukijumlisha na rushwa wanazopokea kila siku unabaki unashangaa kama hii kamati kazi yake ni kusimamia haki ya wabunge kuvuta bangi na kupokea rushwa.

hizi ni kamati za maagizo ya chama siyo ya maadili
 
Mbunge wa iringa mjini aikwaza ccm na kuitwa kamati ya maadili kwa kisingizio kuwa amelidanganya bunge.ni pale alipotaja washiriki wa ujangili wa wanyamapori wakiwemo viongozi wa ccm na serikali.

Kiongozi aliyetajwa na Msigwa siyo wa CCM bali ni Diwani wa Chadema na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu,ina maana magwanda hawawajui hata viongozi wao,huku ndo kukurupuka kuongea bila kuwa na uhakika wa unachokiongea,hao ndiyo viongozi wa magwanda ambao kazi yao kubwa ni kupotosha umma
 
kitaeleweka tu mwaka huu...na 2015 tunaongeza majembe mengine kama mia moja hivi mjengoni ....lazima kinuke tu
 
KIla ukitajwa UFISADI badala ya CCM kuchunguza tuhuma na kuchukua hatua, hukimbilia kuwaita watoa UFISADI kwenye kamati ya haki kinga na maadili kama njia ya kuwanyamazisha wafichua ufisadi. (ref kesi ya TL na wabunge wala Rushwa)

Je Sisi Wananchi wa kawaida tueleweje?

SIMPLE CONCLUSION: CCM na UFISADI ni chanda na pete

Wananchi wa sasa ni wajanja, wanajua, wana uelewa mkubwa kuliko Ndugai na Makinda. Nadhani unajua shule za hao niliowataja, so hawawezi kudanganya watanzania kwa njia wanazotumia, just wait and see, I am sure time will tell.
 
Kiongozi aliyetajwa na Msigwa siyo wa CCM bali ni Diwani wa Chadema na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu,ina maana magwanda hawawajui hata viongozi wao,huku ndo kukurupuka kuongea bila kuwa na uhakika wa unachokiongea,hao ndiyo viongozi wa magwanda ambao kazi yao kubwa ni kupotosha umma

Kama kakosea atajwe tu hakuna kuoneana huruma
 
Kiongozi aliyetajwa na Msigwa siyo wa CCM bali ni Diwani wa Chadema na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Karatu,ina maana magwanda hawawajui hata viongozi wao,huku ndo kukurupuka kuongea bila kuwa na uhakika wa unachokiongea,hao ndiyo viongozi wa magwanda ambao kazi yao kubwa ni kupotosha umma

Hata kama mwizi/fisadi anatoka CDM ni vema ashughulikiwe kama adui wa maendeleo ya watanzania
 
Back
Top Bottom