Mbunge mmoja wa CHADEMA sawa na Wabunge 20 wa CCM

Status
Not open for further replies.
Huna sababu ya kuhamaki ule ulikuwa ni mchango wangu mimi si mwana sangara kama unahitaji maoni kwa kuanzisha hii thread ungenielewesha sio kunizobodoa vipi wewe ,unakurupuka hasira ya nini umeanzisha mjadala acha tuchangie usilete za kuleta ,matawi mangapi katika vijiji vya nchi hii,karibu zaidi ya na kata ndio swali letu
Kichwa kibovu nini kama wana CCM

Pole nimekukwaza eeh.You got what you deserve kwa kuongea vitu ambayo huna facts zake..No fact no right to speak.
 
Wakuu kwanza niombe radhi kwa kutokuwa hewani kwa muda kidogo.Nisingependa nitoe sababu za kutokuwa kwangu hewani. Kwa sasa niko likizo mkoani Tanga.Nikiwa huku Tanga nimepata bahati ya kuhudhuria Operesheni Sangara ya CHADEMA,kwakweli CHADEMA wanajitahidi kuchanja mbuga.Katika speeches nilizovutiwa nazo katika operesheni hii ni hii ya Mbunge Grace Kiwelu,yeye alisema kwamba Mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 20 wa CCM kwa utendaji,akadai kwamba wabunge wengi wa ccm sio watendaji kazi yao ni kupiga makofi tu wanapokuwa bungeni.Nakubalina na kauli ya Mbunge huyu kwamba CHADEMA imejaliwa kuwa na wabun ge vichwa na CCM imejaza makapi.Ila mimi naongeza kwamba mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 50 wa CCM

Huu kweli ni ushabiki kama aliosema kabla. Kweli Great Thinkers! What is there to thank?

The Following 8 Users Say Thank You to Gender Sensitive For This Useful Post:
Josh Michael (20th December 2009), Kiby (20th December 2009), Magezi (20th December 2009), Mchukia Fisadi (20th December 2009), Mzee Mwanakijiji (20th December 2009), mzittokabwela (20th December 2009), Prodigal Son (20th December 2009), Remmy (20th December 2009)
 
Wakuu kwanza niombe radhi kwa kutokuwa hewani kwa muda kidogo.Nisingependa nitoe sababu za kutokuwa kwangu hewani. Kwa sasa niko likizo mkoani Tanga.Nikiwa huku Tanga nimepata bahati ya kuhudhuria Operesheni Sangara ya CHADEMA,kwakweli CHADEMA wanajitahidi kuchanja mbuga.Katika speeches nilizovutiwa nazo katika operesheni hii ni hii ya Mbunge Grace Kiwelu,yeye alisema kwamba Mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 20 wa CCM kwa utendaji,akadai kwamba wabunge wengi wa ccm sio watendaji kazi yao ni kupiga makofi tu wanapokuwa bungeni.Nakubalina na kauli ya Mbunge huyu kwamba CHADEMA imejaliwa kuwa na wabun ge vichwa na CCM imejaza makapi.Ila mimi naongeza kwamba mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 50 wa CCM

GS....Nami naungana nawe kuwapongeza CHADEMA kwa kuwa na wabunge ambao ni active bungeni hasa akina Slaa,Zitto,Halima na wengine......Hii ni hatua moja nzuri sana....Mimi nina haya ya kusema katika kuchangia bandiko lako hili;

1.Kwanza kabisa(najua waweza kunisadia kwa hili) je,CHADEMA mpaka sasa imefaidika vipi na operesheni Sangara katika kujiandaa na uchaguzi mkuu wa mwakani?(wanachama,matawi n.k)

2.CHADEMA ina wanachama wangapi so far na ina matawi na mashina mangapi?(kama utaweza nijibu,usijali)

3.CCM tayari wameanza kujipanga kwa kuanza kuchangisha fedha za kampeni(najua hata CHADEMA mnafanya hili) ikiwa ni pamoja na kutumia mbinu ya kuwatumia wanamuziki/wasanii maarufu wa Bongo Fleva(ambao wanakubalika kwa kiasi kikubwa katika jamii) kuwahamasisha wananchi kuichangia CCM ipate fedha za maandalizi ya uchaguzi.......CHADEMA mmejipanga vipi katika kukabiliana na hili ambalo mimi naona ni 'bao lakisigino' maana licha ya kusaidia kuwahamasisha wananchi pia yaweza kuwaongezea kura kwenye uchaguzi mkuu maana hawa wanamuziki wanakubalika miongoni mwa wananchi si haba.......

4.Kwa vile mtaji wa kura za CCM uko vijijini..........CHADEMA mmejipanga vipi kuhakikisha kwamba mnagawana kama si kukomba kura zote za vijijini ambako CCM wamejiimarisha kuanzia ngazi ya Shina,vijiji,kata n.k.........Mna mpango gani wa kubeba kura za vijijini?........

5.Nawashauri awamu ijayo mbadilishe mfumo wa namna ya kuwapata wabunge wa viti maalum....uwe wa kitaifa zaidi....angalau kuwe na mchanganyiko wabunge wa viti maalum toka Rukwa labda,Lindi,Mbeya,Kilimanjaro,Pwani n.k....Ukiangalia kwa haraka haraka wa sasa utaona katika 6 watano(kama sikosei) wanatoka Kanda ya Kaskazini,Kilimanjaro....(Sijalisema hili kwa nia mbaya,lengo ni kuiondoa ile dhana iliyojengeka miongoni mwa wengi kuhusu CHADEMA....nadhani tunaijua)...

6.Mwisho nawatakia kila la heri katika maandalizi ya uchaguzi(hasa wewe rafiki yangu mbunge mtarajiwa GS)...Ni matumaini yangu kwamba mtajiandaa na kujipanga vema katika kukomba/kushinda viti vya ubunge ili angalau tuwe na wabunge 50 toka CHADEMA kama sio 100................MNAWEZA

Kila la heri.............
 
..Hebu naimabieni ni wabunge wa chama gani wengine waliofanya kazi kama hawa wa CHADEMA?Mpaka sasa?

Dk Slaa na Zitto Kabwe wametoa mchango uliotukuta katika bunge hili, watavuna matunda ya kazi yao nzuri katika uchaguzi mkuu ujao, lakini wabunge wengine wa chadema michango yao bungeni imekuwa ni ya kawaida sana na hauwezi kuwalinganisha na kina Mwakyembe, Seleli, Mpendazoe, Hamad Rashid, John Cheyo na Anna Kilango kwa uchache.
 
CCM.......michuzi blog....!? CHADEMA......jamiiforums.....CUF.......?????
 
Haya tuendeleze mapambano..Hebu naimabieni ni wabunge wa chama gani wengine waliofanya kazi kama hawa wa CHADEMA?Mpaka sasa?

GS..............Ina maana mpaka leo hujauona mchango wa wabunge kama akina Anne Kilango Malecela,Harry Mwakyembe,Lucas Selelii,Fred Mpendazoe,Kimaro,James Lembeli na wengine ndani ya CCM ambao wanapambana na ufisadi(ambayo ndo credit kubwa ya hao wabunge wa CHADEMA) wazi wazi pasi kujificha????
 
GS....Nami naungana nawe kuwapongeza CHADEMA kwa kuwa na wabunge ambao ni active bungeni hasa akina Slaa,Zitto,Halima na wengine......Hii ni hatua moja nzuri sana....Mimi nina haya ya kusema katika kuchangia bandiko lako hili;

1.Kwanza kabisa(najua waweza kunisadia kwa hili) je,CHADEMA mpaka sasa imefaidika vipi na operesheni Sangara katika kujiandaa na uchaguzi mkuu wa mwakani?(wanachama,matawi n.k)

2.CHADEMA ina wanachama wangapi so far na ina matawi na mashina mangapi?(kama utaweza nijibu,usijali)

3.CCM tayari wameanza kujipanga kwa kuanza kuchangisha fedha za kampeni(najua hata CHADEMA mnafanya hili) ikiwa ni pamoja na kutumia mbinu ya kuwatumia wanamuziki/wasanii maarufu wa Bongo Fleva(ambao wanakubalika kwa kiasi kikubwa katika jamii) kuwahamasisha wananchi kuichangia CCM ipate fedha za maandalizi ya uchaguzi.......CHADEMA mmejipanga vipi katika kukabiliana na hili ambalo mimi naona ni 'bao lakisigino' maana licha ya kusaidia kuwahamasisha wananchi pia yaweza kuwaongezea kura kwenye uchaguzi mkuu maana hawa wanamuziki wanakubalika miongoni mwa wananchi si haba.......

4.Kwa vile mtaji wa kura za CCM uko vijijini..........CHADEMA mmejipanga vipi kuhakikisha kwamba mnagawana kama si kukomba kura zote za vijijini ambako CCM wamejiimarisha kuanzia ngazi ya Shina,vijiji,kata n.k.........Mna mpango gani wa kubeba kura za vijijini?........

5.Nawashauri awamu ijayo mbadilishe mfumo wa namna ya kuwapata wabunge wa viti maalum....uwe wa kitaifa zaidi....angalau kuwe na mchanganyiko wabunge wa viti maalum toka Rukwa labda,Lindi,Mbeya,Kilimanjaro,Pwani n.k....Ukiangalia kwa haraka haraka wa sasa utaona katika 6 watano(kama sikosei) wanatoka Kanda ya Kaskazini,Kilimanjaro....(Sijalisema hili kwa nia mbaya,lengo ni kuiondoa ile dhana iliyojengeka miongoni mwa wengi kuhusu CHADEMA....nadhani tunaijua)...

6.Mwisho nawatakia kila la heri katika maandalizi ya uchaguzi(hasa wewe rafiki yangu mbunge mtarajiwa GS)...Ni matumaini yangu kwamba mtajiandaa na kujipanga vema katika kukomba/kushinda viti vya ubunge ili angalau tuwe na wabunge 50 toka CHADEMA kama sio 100................MNAWEZA

Kila la heri.............

Balantanda,Habari yako.
Kwanza nikushukuru kwa kuchangia sredi hii kwa nia ya dhati kabisa.Pili nipokee pongezi zako ulizozitoa kwa Wabunge wa CHADEMA.Tatu nianze kujibu maswali yako kama ulivyouliza kama ifuatavyo:

1. Kazi kubwa ya Operesheni Sangara ni kupata wanachama wapya katika staili ya kujadiliana nao kero zao na jinsi ya kutatua kero hizo. Tukiiingia kwenye jimbo husika huwa tunagawanyika kulingana na idadi ya kata katika jimbo hilo. Kila timu kabla ya kufanya mkutano wa hadhara kwenye eneo iliyopangiwa hupita kwenye eneo hilo na kuhoji wananchi kero kuu za hapo.Baada ya kupata kero na kufanya maandalizi ya mkutano wa hadhara and then mkutano wa hufanyika kwa kuchambua kero zilizopo kwenye eneo hilo na kuwaeleza wananchi kinagaubaga kwamba uwezo wa kutatuliwa matatizo hayo upo na huwa tunatoa fursa za maswali na majibu. Baada ya mkutano wa hadhara huwa tunaalika kama kuna watu wangependa kujiunga na chama na hivyo huanza zoezi la kuuza kadi kwa wanachama.Baada ya kupata wanachama huwa tunaunda matawi kama eneo ilo halina tawi lolote la CHADEMA sambamba na kuunda uongozi wa muda.Hivyo tunakuwa tumepata wanachama na kutoa elimu ya uraia na hivyo kuacha vuguvugu la chama katika eneo hilo.

2.Kutaja idadi kamili ya wanachama na matawi kwa kweli nitakuwa nakudanganya,mpaka sasa hatuna idadi kamili kwa kuwa kwa kweli mfumo wetu wa kupata taarifa toka mikoani na wilayani sio scientific hivyo sio realible.

3. Mkakati wa kukusanya pesa kwa njia ya sms ni mkakati uliokuwa wa kwanza kwa hapa Tanzania kufanywa na CHADEMA kabla ya CCM lakini kutokana na ufinyu wa fedha,pindu chafu za CCM na pia hata uzembe wetu pia imesababisha zoezi hili kulegalega na hivyo CCM kutupiga bao..Lakini nisem tu kuwa bao hili sio la kisigini kwani wanaochangia CCM sio wachangiaji wa CHADEMA wala wa CUF,kila chama kinawachangiaji wake.

4. Watu wengi huwa tunadhani kwamba mtaji wa kura wa CCM uko vijijini lakini hii si kweli kabisa,niakupa mifano michache,Majiji kama Dar,Mwanza na Arusha yote yanaongozwa na wabunge wa CCM,hivi haya nyao ni vijijini? Dar mpaka Madiwani wote ni wa CCM.Lakini kuna majimbo kama ya Karatu,Kigoma Kask,Mpanda Kati na Tarime hivi haya ni ya mijini?Tatizo sio vijijini kuna tatizo ya zaidi ya hivi tunavyodhani. Lakini pia Operesheni Sangara inapita kila kata huko vijijini kwa kutumia helkopta na hivyo kufikia mpaka huko tunakodhani kuwa ndio tunakosa kura.

5.Katiba mpya ya CHADEMA imeweka wazi namana ya kuwapata Wabunge wa Viti Maalum.KIla Wilaya inateua majina matatu nayo yatachujwa katika ngazi mbalimbali na hatimaye kupatikana mshindi kulingana vigezo vilivyoweka na Baraza la Wanawake Chadema(BAWACHA)

Nadhani nitakuwa nimekujibu...

Wish You all the best..
 
Asante sana Mgombea Ubunge Mtarajiwa...Umenijibu vizuri sana...Hongera....Cha msingi mjitangaze zaidi vijijini,ndiko wapiga kura wapo kule

Kila la heri............Ngoja niangalie mpira hapa
 
ndio maana niliuliza kwenye ile makala wapiganaji ccm wanapigania nini? Hadi leo sijapata jibu la kuridhisha.

Hili ni kweli.. Ndio maana hutasikia wapiganaji wetu wakipigana kuubadilisha mfumo wa utawala wa kifisadi (muk); wanachotaka wao ni kubadilisha mafisadi wa sasa ili wao waingie na kwa vile mashine ya kukoboa mafisadi inafanya kazi yake bila kukoma basi utaona watakaoingia uadilifu wao utakobolewa na wao wataibuka kama mafisadi wapya.. Bila ya kubadili mfumo vita ya ufisadi haina maana ni geresha tu!

si 1shirini. Bali mbunge mmoja wa chadema ni sawa na angalau wabunge 5,000 wa chama cha mapinduzi. Namba yangu ya simu ni 0712 540 415
 
Balantanda,Habari yako.
Kwanza nikushukuru kwa kuchangia sredi hii kwa nia ya dhati kabisa.Pili nipokee pongezi zako ulizozitoa kwa Wabunge wa CHADEMA.Tatu nianze kujibu maswali yako kama ulivyouliza kama ifuatavyo:

1. Kazi kubwa ya Operesheni Sangara ni kupata wanachama wapya katika staili ya kujadiliana nao kero zao na jinsi ya kutatua kero hizo. Tukiiingia kwenye jimbo husika huwa tunagawanyika kulingana na idadi ya kata katika jimbo hilo. Kila timu kabla ya kufanya mkutano wa hadhara kwenye eneo iliyopangiwa hupita kwenye eneo hilo na kuhoji wananchi kero kuu za hapo.Baada ya kupata kero na kufanya maandalizi ya mkutano wa hadhara and then mkutano wa hufanyika kwa kuchambua kero zilizopo kwenye eneo hilo na kuwaeleza wananchi kinagaubaga kwamba uwezo wa kutatuliwa matatizo hayo upo na huwa tunatoa fursa za maswali na majibu. Baada ya mkutano wa hadhara huwa tunaalika kama kuna watu wangependa kujiunga na chama na hivyo huanza zoezi la kuuza kadi kwa wanachama.Baada ya kupata wanachama huwa tunaunda matawi kama eneo ilo halina tawi lolote la CHADEMA sambamba na kuunda uongozi wa muda.Hivyo tunakuwa tumepata wanachama na kutoa elimu ya uraia na hivyo kuacha vuguvugu la chama katika eneo hilo.

2.Kutaja idadi kamili ya wanachama na matawi kwa kweli nitakuwa nakudanganya,mpaka sasa hatuna idadi kamili kwa kuwa kwa kweli mfumo wetu wa kupata taarifa toka mikoani na wilayani sio scientific hivyo sio realible.

3. Mkakati wa kukusanya pesa kwa njia ya sms ni mkakati uliokuwa wa kwanza kwa hapa Tanzania kufanywa na CHADEMA kabla ya CCM lakini kutokana na ufinyu wa fedha,pindu chafu za CCM na pia hata uzembe wetu pia imesababisha zoezi hili kulegalega na hivyo CCM kutupiga bao..Lakini nisem tu kuwa bao hili sio la kisigini kwani wanaochangia CCM sio wachangiaji wa CHADEMA wala wa CUF,kila chama kinawachangiaji wake.

4. Watu wengi huwa tunadhani kwamba mtaji wa kura wa CCM uko vijijini lakini hii si kweli kabisa,niakupa mifano michache,Majiji kama Dar,Mwanza na Arusha yote yanaongozwa na wabunge wa CCM,hivi haya nyao ni vijijini? Dar mpaka Madiwani wote ni wa CCM.Lakini kuna majimbo kama ya Karatu,Kigoma Kask,Mpanda Kati na Tarime hivi haya ni ya mijini?Tatizo sio vijijini kuna tatizo ya zaidi ya hivi tunavyodhani. Lakini pia Operesheni Sangara inapita kila kata huko vijijini kwa kutumia helkopta na hivyo kufikia mpaka huko tunakodhani kuwa ndio tunakosa kura.

5.Katiba mpya ya CHADEMA imeweka wazi namana ya kuwapata Wabunge wa Viti Maalum.KIla Wilaya inateua majina matatu nayo yatachujwa katika ngazi mbalimbali na hatimaye kupatikana mshindi kulingana vigezo vilivyoweka na Baraza la Wanawake Chadema(BAWACHA)

Nadhani nitakuwa nimekujibu...

Umejibu vizuri hoja zako ila kipengele cha nne sikubaliani na wewe, nikweli kuwa kuna majimbo ccm wameshinda mjini lakini ukiangalia asilimia za ushindi mijini ni ndogo maranyingi aslimia 40 nakitu lakini vijijini wanakomba asilimia kubwa mno sehemu zingine hamna kabisa wagombea wa upinzani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom