HIvi hamjachoka na hizi hotuba zao na haya ya Operesheni Sangara na Sato? Hivi Operesheni hii imezaa matunda kiasi gani kule kanda ya ziwa:
Matawi mangapi yameanzishwa?
Wanachama wangapi wamepatikana?
Kiasi gani kimepatikana na michango kwa chama?
mbunge mmoja wa chadema sio sawa na wabunge 20 wa ccm (vice versa is true!)....there is big gap btwn ccm & chadema, maji na mafuta kamwe havichangamani...and cant be compared....
ukila na kipofu usimshike mkono, wewe ni kipofu umenionaje mimi? au ndio kusema wote tumegongana kwa upofu wetu? ccm ndio baba na mama wa vyama vyoooote tz, hakuna upinzani wala nini, huko mnakoita ni kambi ya upinzani kumejaa vibaraka wa ccm tupu.....inshallah ipo siku na nyinyi mtatoka kidedea....Teh teh teh,ukiwa shabiki unakuwa mtumwa.Yaani huwezi kuona utofauti basi wewe ni kipofu wa vipofu
Kibaya zaidi wanaongelea agenda moja ufisadi ufisadi??
Elimu vipi? afya vipi? barabara na makazi vipi? mishahara na pension vipi? kilimo vipi?
wanatumia party resources (mikopo) for one agenda for four years? sipati picha wanachama kama wanaelewa na kama kuna justification ya allowances, perdiem kwa viongozi dull kama hawa.
We rudi kwenye jukwaa lako kule unatafutwa uka moderate hapa huwezi elewa nini kinazungumzwa.Pumba tupu...!
Mkuu mimi ni tunda la operation Sangara na tupo wengi hawajafanya kazi bure mkuuHIvi hamjachoka na hizi hotuba zao na haya ya Operesheni Sangara na Sato? Hivi Operesheni hii imezaa matunda kiasi gani kule kanda ya ziwa:
Matawi mangapi yameanzishwa?
Wanachama wangapi wamepatikana?
Kiasi gani kimepatikana na michango kwa chama?
We rudi kwenye jukwaa lako kule unatafutwa uka moderate hapa huwezi elewa nini kinazungumzwa.
Tuambie hoja za kafu ni zipi? kualikwa ikulu ya Zanzibar na kupewa bure viti vya uwakilishi tena siku za mwisho kabla ya uchaguzi?Ufisadi ndio ajenda...pekee lol
hapo ndipo mnaboa wananchi, ufisadi hauondolewi jukwaani ...na nchi haichukuliwi kwa ajenda moja???
Kama wananchi hawatawapa nchi ufisadi utaondokaje?...kama mdau (mwananchi) nahitaji kusikia areas kama afya, elimu, barabara, biashara, zinazungumza vipi? ili niwape kura??
besides si CCM nao wanasema wanapinga ufisadi? na mafisadi? sioni mantiki ya kuongelea miaka minne agenda moja...na wala hakuna tija zaidi ya kupoteza media air time/space, resources (scarce) ...badala kutoa alternatives wanaimba ngojera..lol
Nimesema nisiwasikie tena nyie wapemba mnakuja hapa na kelele zile zile za miaka yote, umesikia?
Wakuu kwanza niombe radhi kwa kutokuwa hewani kwa muda kidogo.Nisingependa nitoe sababu za kutokuwa kwangu hewani. Kwa sasa niko likizo mkoani Tanga.Nikiwa huku Tanga nimepata bahati ya kuhudhuria Operesheni Sangara ya CHADEMA,kwakweli CHADEMA wanajitahidi kuchanja mbuga.Katika speeches nilizovutiwa nazo katika operesheni hii ni hii ya Mbunge Grace Kiwelu,yeye alisema kwamba Mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 20 wa CCM kwa utendaji,akadai kwamba wabunge wengi wa ccm sio watendaji kazi yao ni kupiga makofi tu wanapokuwa bungeni.Nakubalina na kauli ya Mbunge huyu kwamba CHADEMA imejaliwa kuwa na wabun ge vichwa na CCM imejaza makapi.Ila mimi naongeza kwamba mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 50 wa CCM
Mimi tarehe 16, 17 na 18 nilikuwa muheza nilikwenda pale maguzoni kufata mbegu za miti ya Mitiki kule Potwe na nilikuwa nakaa pale muheza mjini.
Niliona helkopta kama ya jeshi pale Muheza na nilipouliza niliambiwa Mbowe na NGO yake wapo pale katika kampeni za uhamasishaji.
Nilichogundua watu wengi hususan watoto walihudhuria mkutanoni kwa ajili ya kushangaa helikopta na wala si kumsikiliza Mbowe.
Chadema muwe makini na tathini zenu kwani wengi wanafata kuona helikopta na sio kufata mkutano.
HM
Kwanza Nasikitika kwamba tathmini yako si sahihi kwamba uliona watoto tu.Kwanza nikubaliane na wewe kwamba ni kweli watoto hudhuria mikutano hii kwa lengo la kushangaa helkopta lakini ukumbuke kuwa na watu wazima pia huhudhuria. Ndio maana nimesema kwamba huwa wanapata wanachama 40 mpaka 100 inategmea na eneo. Lakini pia ukumbuke kuwa mbegu inapandwa miongoni mwa watoto hawa ambao katika umri mdogo watakuwa wakiitambua CHADEMA.Ubishe usibishe ni kwamba hii operesheni is very effective,wewe umeangalia sehemu moja tu.Pili CHADEMA sio NGO ndugu yangu najua unaiita hivyo kwakuwa CHADEMA is a strong party
Wakuu kwanza niombe radhi kwa kutokuwa hewani kwa muda kidogo.Nisingependa nitoe sababu za kutokuwa kwangu hewani. Kwa sasa niko likizo mkoani Tanga.Nikiwa huku Tanga nimepata bahati ya kuhudhuria Operesheni Sangara ya CHADEMA,kwakweli CHADEMA wanajitahidi kuchanja mbuga.Katika speeches nilizovutiwa nazo katika operesheni hii ni hii ya Mbunge Grace Kiwelu,yeye alisema kwamba Mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 20 wa CCM kwa utendaji,akadai kwamba wabunge wengi wa ccm sio watendaji kazi yao ni kupiga makofi tu wanapokuwa bungeni.Nakubalina na kauli ya Mbunge huyu kwamba CHADEMA imejaliwa kuwa na wabun ge vichwa na CCM imejaza makapi.Ila mimi naongeza kwamba mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 50 wa CCM
kila siku nitasema na nitarudia tena na tena, kuna watu wanafanya JF ni kichaka cha kujadili hoja za CHADEMA against CCM. hivi kama wanazuoni lazima kuangalia ni lipi tunalitaka na si nani na nani kafanya nini wapi. kama huu ni mtandao wa ilani za CHADEMA semeni kwa uwazi si kuniacha tu nikiwa na hoja sijibiwa wakati haya yanaonekana. Dr. Kaborou alikuwa CHADEMA kushindwa tu kidogo kaenda CCM, Shaibu Ally Akwilombe naibu katibu mkuu Chadema, kwa maslahi ya chama na ukoo alienda CCM, sasa hivi zitto kwa maslahi ya kafulila amebaki na maslahi binafsi ya ubunge amalizie kipindi chake kule dodoma ahame chama. kile chama ni cha ukoo wa kina mtei na ndugu zakeWakuu kwanza niombe radhi kwa kutokuwa hewani kwa muda kidogo.Nisingependa nitoe sababu za kutokuwa kwangu hewani. Kwa sasa niko likizo mkoani Tanga.Nikiwa huku Tanga nimepata bahati ya kuhudhuria Operesheni Sangara ya CHADEMA,kwakweli CHADEMA wanajitahidi kuchanja mbuga.Katika speeches nilizovutiwa nazo katika operesheni hii ni hii ya Mbunge Grace Kiwelu,yeye alisema kwamba Mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 20 wa CCM kwa utendaji,akadai kwamba wabunge wengi wa ccm sio watendaji kazi yao ni kupiga makofi tu wanapokuwa bungeni.Nakubalina na kauli ya Mbunge huyu kwamba CHADEMA imejaliwa kuwa na wabun ge vichwa na CCM imejaza makapi.Ila mimi naongeza kwamba mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 50 wa CCM
kama ni hivi JF haina maana hata kidogoUnabishana na huyo ? Jaribu kusoma historia yake hapa forum utagundua hata kama mimi si mwandikaji sana lakini nimesha msoma huyu jamaa amejaa chuki dhidi ya Wachaga , Mkabila ana matusi kwa watanzania , ni mpuuzi na kipofu kiasi cha kuona Chadema si chama yeye analia na helikopta na kuwaita wapenzi na wanachama wa Chadema wote wajinga . Huyu si wa kujibishana naye he is a looser , ni nyoka , shetani , hafai hata kufuatwa nyuma .Huyu ni makapi tena ya miwa .
Pumba tupu...!
This is a joke. Hao wabunge wa Chadema wamefanya nini kuboresha maisha ya wananchi wao? Maana utendaji mkuu wa mbunge ni kutetea maslahi ya jimbo lake. Tutajieni majimbo ya Chadema na wame fanyia nini wananchi wao. I'm sorry to say this but it seems wabunge hao "vichwa" wa Chadema wana jali zaidi "u-celebrity" badala ya kuwa shughulikia wananchi walio wapigia kura.
kama ni hivi JF haina maana hata kidogo