Mbunge mmoja wa CHADEMA sawa na Wabunge 20 wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge mmoja wa CHADEMA sawa na Wabunge 20 wa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Regia Mtema, Dec 20, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #1
  Dec 20, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Wakuu kwanza niombe radhi kwa kutokuwa hewani kwa muda kidogo.Nisingependa nitoe sababu za kutokuwa kwangu hewani. Kwa sasa niko likizo mkoani Tanga.Nikiwa huku Tanga nimepata bahati ya kuhudhuria Operesheni Sangara ya CHADEMA,kwakweli CHADEMA wanajitahidi kuchanja mbuga.Katika speeches nilizovutiwa nazo katika operesheni hii ni hii ya Mbunge Grace Kiwelu,yeye alisema kwamba Mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 20 wa CCM kwa utendaji,akadai kwamba wabunge wengi wa ccm sio watendaji kazi yao ni kupiga makofi tu wanapokuwa bungeni.Nakubalina na kauli ya Mbunge huyu kwamba CHADEMA imejaliwa kuwa na wabun ge vichwa na CCM imejaza makapi.Ila mimi naongeza kwamba mbunge mmoja wa CHADEMA ni sawa na wabunge 50 wa CCM
   
 2. m

  madule Senior Member

  #2
  Dec 20, 2009
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli maana wengi wa ccm ni kupiga makofi tuuu bungeni endapo mmoja wao katoa hoja hata kama ni pumba mradi tuu ni ccm na wengi ni wazee wanasinzia tuuu na kuibuka wakisikia makofi na kusapoti bila kujua hoja ni ipi imesemwa.
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Dec 20, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  jamani hivi Chadema ina jumla ya wabunge wangapi? na ni akina nani? please
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Dec 20, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Pumba tupu...!
   
 5. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #5
  Dec 20, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Chadema kwa kuajiri wana JF..lol tatizo wengi wao ni blind followers...pole.
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Dec 20, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  HIvi hamjachoka na hizi hotuba zao na haya ya Operesheni Sangara na Sato? Hivi Operesheni hii imezaa matunda kiasi gani kule kanda ya ziwa:

  Matawi mangapi yameanzishwa?
  Wanachama wangapi wamepatikana?
  Kiasi gani kimepatikana na michango kwa chama?
   
 7. Serendipity

  Serendipity JF-Expert Member

  #7
  Dec 20, 2009
  Joined: Jan 24, 2009
  Messages: 475
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Chadema inaongoza kwa idadi ya wabunge wapinzani Baada ya CUF
   
 8. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #8
  Dec 20, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kibaya zaidi wanaongelea agenda moja ufisadi ufisadi??

  Elimu vipi? afya vipi? barabara na makazi vipi? mishahara na pension vipi? kilimo vipi?

  wanatumia party resources (mikopo) for one agenda for four years? sipati picha wanachama kama wanaelewa na kama kuna justification ya allowances, perdiem kwa viongozi dull kama hawa.
   
 9. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #9
  Dec 20, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hauko Tanzania, kama uko Tanzania chadema wana wabunge wa 5 CUF wanawabunge 19...is 19>5? ushabiki mwingine aibu kuwa great thinker???
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Dec 20, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
   
 11. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #11
  Dec 20, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  - Yale yake ya Yanga na Simba, huku wananchi wanazidi kuwa masikini wakati wabunge wote wa CCM na Chadema, wakikusanya marupurupuya ajabu sana, wakihudhuria vikao Dodoma, na kurudi Dar for the weekend kabla ya kurudi tena Dodoma kuendela na vikao huku wote waki-pollute hewa yetu bigtime na mshangingi mengi ya reconditioned, ambayo kwa majuu ni written off kwa sababu hayako efficient kwenye emissions,

  - I mean we can go on and on, kuhusu kufanana kwao huyo Kiwelu si kuna wakati huwa anasafiri na lile kundi la Muungwana, hivi nini cha maana amewahi kufanya kwenye hizo safari na Muungwana kwa taifa hili?

  - Ndio maana sometimes huwa ninasema it is about time sasa tuka do away na vyama vyote vya siasa nchini na kuanza upya, maana inaudhi sana!

  Respect.


  FMEs!
   
 12. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #12
  Dec 20, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  Dec 20, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Ok, kumbe Chadema ina wabunge 5, 5*20=100

  kwa hiyo tunahitaji wabunge 15 zaidi ili tushike nchi!!

  Chadema ikiwa na wabunge 20 tu basi imeshamaliza kazi!!
   
 14. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #14
  Dec 20, 2009
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Sisiem Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!

  Amri mpya kasi mpya nguvu mpya

  Watu piiiiiiiiiiiiiiiiiiiippppppppppppppppppooooooooooooooooooooooooooo
   
 15. bokassa

  bokassa JF-Expert Member

  #15
  Dec 20, 2009
  Joined: May 19, 2007
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwkjj, nakubaliana nawe kuwa ajenda ya ufisadi ndio kuu, na tatizo la ufisadi ndio sababu ya matatizo mengine yote yanayoikabili nchi!!! Shida nayopata ni kuwa, wanaharakati wengi wanaojiita wapinga ufisadi, wanazungumzia tatizo tu na sio solution ya ufisadi! Kwa wale wachache waliojitahidi wanazungumzia immediate cause lakini sijaona root casue based solution! Hii kama ncni haitusaidii sana japo ina thamani yake!

  Kwangu mm wengi naona wamechukulia ajenda ya ufisadi kama mtaji wa kisiasa!

  Ama kuhusu mbunge 1 chadema sawasawa na 20 wa CCM, wabunge hao labda Zitto Kabwe au Marehemu Chacha Wangwe!

  Waliobaki nao ndio walewale, heshisha, kauli, busara na maamuzi ya muasisi mtei yaheshimiweeee!! Oyeeee. Pengine tofauti tu, wale wa CCM wanafanya dhahir hawa wa Chadema underground!

  Wakatabaho!!
   
 16. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #16
  Dec 20, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Juzi Mbowe kasema bila aibu , kuwa JK avunje baraza la mawaziri! atawaweka mawaziri walewale ambao pia ni wabunge, hao wabunge ndio hao wanapimishwa kwenye mizani na wale wa chadema!

  so kuanzia mwenyekiti ni blind hajui wajibu wake kama chama!
   
 17. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #17
  Dec 20, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Ndio maana niliuliza kwenye ile makala wapiganaji CCM wanapigania nini? Hadi leo sijapata jibu la kuridhisha.

  Hili ni kweli.. ndio maana hutasikia wapiganaji wetu wakipigana kuubadilisha mfumo wa utawala wa kifisadi (MUK); wanachotaka wao ni kubadilisha mafisadi wa sasa ili wao waingie na kwa vile mashine ya kukoboa mafisadi inafanya kazi yake bila kukoma basi utaona watakaoingia uadilifu wao utakobolewa na wao wataibuka kama mafisadi wapya.. bila ya kubadili mfumo vita ya ufisadi haina maana ni geresha tu!
   
 18. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #18
  Dec 20, 2009
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  CHADEMA ina wabunge 5 wa kutoka majimboni na 6 wa viti maalum na wote hawa ni vichwa mtake msitake.Ni wabunge walioko kwenye orodha ya top 50 ya wauliza maswali yawe ya msingi ama ya nyongeza na pia ni vinara wa kuchangia hoja mbalimbali. Wabunge hao ni kamaifuatavyo:

  1. Dk Wilibrod Slaa-Karatu
  2.Zitto Kabwe- Kigoma Kaskazini
  3.Charles Mwera- Tarime
  4.Said Amour Arfi-Mpanda Kati
  5.Philemon Ndessamburo-Moshi Mjini

  Hao ni wa majimbo.
  1. Grace Kiwelu
  2.Halima Mdee
  3.Mhonga Ruhanywa
  4.Susan Lyimo
  5.Anna Komu
  6.Lucy Owenya

  Wabunge hawa wamekuwa wakifanya vizuri sana mbishe msibishe.
   
 19. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #19
  Dec 20, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Kama wewe ulivyoajiriwa na CUF.Sidhani kama CHADEMA wanaweza kupoteza resources kwa kuajiri watu kwaajili ya kukaa hapa JF na kujibu hoja au kuanzisha hoja mbalimbli.CHADEMA inawapenzi wengi na credible wanaofanya kazi ya kutetea bila kuambiwa au kupewa posho.Labda huko kwenu CCM na CUF but not CHADEMA. Kwa maelezo yako inelekea wewe umeajiriwa na CUF na baadhi yetu humu jamvini.
   
 20. M

  Mkora JF-Expert Member

  #20
  Dec 20, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 360
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Unazi mwingine Bwana sasa CUF sio upinzani
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...