Mbunge: Mbowe alidanganya Watanzania, Biashara zake hazikufungwa na Serikali bali Wanafamilia yake

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,499
9,279
Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa.

Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda Mahakamani na Mahakama kuamuru kumzuia kuendelea na biashara hizo.

Aidha, amesema Jengo la Billcanass lilichukuliwa kutokana na Mbowe kutokulipa kodi kwa muda mrefu kwasababu lile ni jengo la Serikali.

IMG_20210423_180427_176.jpg
 
Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa

Amesema biashara anazozifanya Mbowe ni za urithi wa Familia na alikuwa anazifanya bila kuwapa mrejesho Wanafamilia ndipo walipokwenda Mahakamani na Mahakama kuamuru kumzuia kuendelea na biashara hizo

Aidha, amesema Jengo la Billcanass lilichukuliwa kutokana na Mbowe kutokulipa kodi kwa muda mrefu kwasababu lile ni jengo la Serikali.
Asema pia alidanganya amefungwa.
 
Mbowe amezoea kuishi kwa uwongo anawadanganya wajinga pale ufipa ila ccm haiwezi
 
Sijui ni nani aliyetoa wazo la kuivunja billcanas mi moja ya wazo bovu kufanywa tokea ile siku ndipo nilijua kuwa tz hatuna mipango bali siasa chafu unavunja asset ambayo waliweza kumpangisha mtu wao wakaona bola wavunje ili wazungushe mabati na pesa wakose
Hao ndio wanaosema hakuharibiwa bustani zake.,hakufungwa,hakufungiwa biashara.
 
Sijui ni nani aliyetoa wazo la kuivunja billcanas mi moja ya wazo bovu kufanywa tokea ile siku ndipo nilijua kuwa tz hatuna mipango bali siasa chafu unavunja asset ambayo waliweza kumpangisha mtu wao wakaona bola wavunje ili wazungushe mabati na pesa wakose
Mbaya zaidi hilo jengo lilijengwa na baba yake Mbowe, Nyerere alilitaifisha akawapa NHC.
 
Back
Top Bottom