scramble
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,593
- 256
Mbunge wa Mtera mh. Livingstone Lusinde ameiripua chadm Leo bungeni alipokua akichangia mswada wa Kura ya maoni.
Amemshangaa mnyika jutoiamini tume ya taifa ya uchaguzi (NEC). Lusinde amesema kuwa mnyika na wenzake wa chdm wana tabia ya kuogopa siyo uchaguzi wa ngazi ya kitaifa pekee bali wanaogopa hats uchaguzi wa ndani ya chama.
Ameishauri chdm kuacha udikteta kwa kuwapa fursa wanachama wake kugombea uongozi.
Lusinde amehoji kwa nini kila ukaribiapo uchaguzi wa ndani wa chadm baadhi ya wanachama hufukuzwa na kuuawa? Amewataja kaburu, wangwe, kafulila na salsa zitto.
Amemalizia kwa kuwaomba chadm warekebishe demokrasia ya ndani kwanza ndiyo waisakame NEC