Mbunge Lusinde ailipua CHADEMA Bungeni

scramble

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
1,593
256
Mbunge wa Mtera mh. Livingstone Lusinde ameiripua chadm Leo bungeni alipokua akichangia mswada wa Kura ya maoni.

Amemshangaa mnyika jutoiamini tume ya taifa ya uchaguzi (NEC). Lusinde amesema kuwa mnyika na wenzake wa chdm wana tabia ya kuogopa siyo uchaguzi wa ngazi ya kitaifa pekee bali wanaogopa hats uchaguzi wa ndani ya chama.

Ameishauri chdm kuacha udikteta kwa kuwapa fursa wanachama wake kugombea uongozi.

Lusinde amehoji kwa nini kila ukaribiapo uchaguzi wa ndani wa chadm baadhi ya wanachama hufukuzwa na kuuawa? Amewataja kaburu, wangwe, kafulila na salsa zitto.

Amemalizia kwa kuwaomba chadm warekebishe demokrasia ya ndani kwanza ndiyo waisakame NEC
 
Ama kweli Wabunge wa Magamba ni mbumbumbu ajabu! Bungeni wanajadili Muswada wa Kura ya Maoni, badala ya kutoa hoja zinazohusiana na hoja iliyopo mezani, Gamba full matusi Lusind(o/e) anaongelea mambo ya Uchaguzi wa CDM! Basi ailete hiyo NEC yao ije isimamie uchaguzi ndani ya CDM sasa na yeye awe ndiye Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi. Kudadadeki walai sijui hii nchi nani alituloga hadi vilaza kama hawa wanapewa nafasi ya kutunga sharia za nchi!
 
Baadae hoja zinapita tena kwa kuungwa mkono 100%, ama kweli ndo maana hata eac yetu wenzetu wanatushangaa sana make kama tu hata bunge letu tuna wabunge dizaini ya Lusinde kweli tunastahili fedhea huko nje
 
Lusinde ndo baba lao,huwa anasema wanamjua vizur kuwa akiweka yeye mkutano sehem huwa wanalala mbele na hata mbumbumbu lema
 
Mbunge wa Mtera mh. Livingstone Lusinde ameiripua chadm Leo bungeni alipokua akichangia mswada wa Kura ya maoni.

Amemshangaa mnyika jutoiamini tume ya taifa ya uchaguzi (NEC). Lusinde amesema kuwa mnyika na wenzake wa chdm wana tabia ya kuogopa siyo uchaguzi wa ngazi ya kitaifa pekee bali wanaogopa hats uchaguzi wa ndani ya chama.

Ameishauri chdm kuacha udikteta kwa kuwapa fursa wanachama wake kugombea uongozi.

Lusinde amehoji kwa nini kila ukaribiapo uchaguzi wa ndani wa chadm baadhi ya wanachama hufukuzwa na kuuawa? Amewataja kaburu, wangwe, kafulila na salsa zitto.

Amemalizia kwa kuwaomba chadm warekebishe demokrasia ya ndani kwanza ndiyo waisakame NEC

Kama wanavyoogopa Uchaguzi wa Sombetini? Kweli Mgamba mmekufa japo hamjijui.
 
Anaogopa kivuli cha CHADEMA bungeni wamepeleka muswaada wa CHADEMA au wa katiba.
Chadema habari ya mjini hajasikia poli ssm wakisema wamejichoma kweli gamba wameshikwa
 
Halafu mwisho wa mwezi huu anapewa salary,,,,so strange jamani,,,mada ni kuhusu katiba,wabunge wetu hawa watastaarabika lini????
 
M nadhan hajailipua CDM bali kajilipua ye mwenyewe..

Ana uwezo mdogo sana wa kufikir...
 
hana lolote aende tu lapaz Dodoma kula mishikaki kwa chips.
 
Naunga mkono Hoja ya Lusinde kwa mara ya kwanza,CDM ijatazame wao kwao wanaeshimu Demokrasia ya Uchaguzi
 
Mbunge wa Mtera mh. Livingstone Lusinde ameiripua chadm Leo bungeni alipokua akichangia mswada wa Kura ya maoni.

Amemshangaa mnyika jutoiamini tume ya taifa ya uchaguzi (NEC). Lusinde amesema kuwa mnyika na wenzake wa chdm wana tabia ya kuogopa siyo uchaguzi wa ngazi ya kitaifa pekee bali wanaogopa hats uchaguzi wa ndani ya chama.

Ameishauri chdm kuacha udikteta kwa kuwapa fursa wanachama wake kugombea uongozi.

Lusinde amehoji kwa nini kila ukaribiapo uchaguzi wa ndani wa chadm baadhi ya wanachama hufukuzwa na kuuawa? Amewataja kaburu, wangwe, kafulila na salsa zitto.

Amemalizia kwa kuwaomba chadm warekebishe demokrasia ya ndani kwanza ndiyo waisakame NEC

Kuna kipindi alikuwa anajitafutia ujiko kwa kusema eti Yeye na Nchemba wanaitosha cdm. Nahisi alikuwa anatafuta vi trips aambulie per diem! Lusinde ni mweupe mno!
 
Huyu Lusinde isijekuwa wakati anadondoshwa kichwa kilikutana na jiwe kwa hiyo akawa deformed kiaina!!
 
Huwa sielewi hadi leo hii Malecela alibwagwaje na huyu mtu.

Na shangaa mnapoteza muda kumjadili "MC" wa kipaimara changu..muongo huyo mfano hakuna.. Matola we si ulitangazwa kwamba umefariki India? ati ulikua afisa balozi wa Tz washington..ama mi ndo sikuelewa?
 
Last edited by a moderator:
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom