Mbunge Lijualikali atoa siri za CHADEMA; akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai

Nimemsikiliza hana hoja credible, kumbe CDM wapo vizuri sana kufuata taratibu zao vikao." Baraza kuu lilikasimu halmashauri kuu ya chama kufanya mabadiliko bajeti..." Lijuakali, pia upande wa gari ununuzi ile ni tax avoidance inakubalika unatumia mianya ya kisheria kukwepa kodi, mbunge na chama wanafungamana, kinyume chake kama lingeuzwa kwa ujanja mitaani matumizi binafsi angekuwa na hoja pangekuwa na jinai na uhujumu uchumi.Hongereni sana CDM msiogope wanazidi kuwapa promo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes mtu pekee katika historia ya Chadema aliediriki kuhoji wazi wazi. Maana hata kina Zitto enzi zile walikuwa pro Mbowe na walimponda sana Chacha Wangwe ilhali alikuwa anaongea ukweli ambao ungeifanya Chadema kuwa chama cha kweli chenye sura ya kitaifa. Aliwataka wajenge chama from bottom to the top. Wao wanakijenga from top ndo maana hakuna nguzo wala misingi imara.
Unaongea usichokijua, umeshawahi kusikia kitu inaitwa CDM ni msingi?

Na kama CDM haiko ngazi za chini kwanini mlichakachua uchaguzi serikali za mitaa? mngeenda kwenye ushindani muone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimemsikiliza hana hoja credible, kumbe CDM wapo vizuri sana kufuata taratibu zao vikao." Baraza kuu lilikasimu halmashauri kuu ya chama kufanya mabadiliko bajeti..." Lijuakali, pia upande wa gari ununuzi ile ni tax avoidance inakubalika unatumia mianya ya kisheria kukwepa kodi, mbunge na chama wanafungamana, kinyume chake kama lingeuzwa kwa ujanja mitaani matumizi binafsi angekuwa na hoja pangekuwa na jinai na uhujumu uchumi.Hongereni sana CDM msiogope wanazidi kuwapa promo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeonyesha dhahiri unyumbu Mwamba alijua sababu ya kukasimisha majukumu ya kamati kuu ma alifanikiwa akafanya yake

Kuhusu gari hujaona why CAG aliona kuna hoja ya kiukaguxi?Ndio sababu Inasemwa n tax avoidance sasa CDM kwa huu mfano mmoja ingechukua Dola ingefanya madudu mangapi?Why wasitumie utaratibu wa kawaida wa manunuzi wanalipa toyo stahili kwa serikali?
 
Nimemsikiliza hana hoja credible, kumbe CDM wapo vizuri sana kufuata taratibu zao vikao." Baraza kuu lilikasimu halmashauri kuu ya chama kufanya mabadiliko bajeti..." Lijuakali, pia upande wa gari ununuzi ile ni tax avoidance inakubalika unatumia mianya ya kisheria kukwepa kodi, mbunge na chama wanafungamana, kinyume chake kama lingeuzwa kwa ujanja mitaani matumizi binafsi angekuwa na hoja pangekuwa na jinai na uhujumu uchumi.Hongereni sana CDM msiogope wanazidi kuwapa promo.

Sent using Jamii Forums mobile app

HAPA HUYU LIJUAKALI ndio kachemsha. Sijui alitaka kutuambia nini maana hajui hata anachotaka kusema.

Kijana bado hata baleghe hajapata. Namuonea huruma.

Vuvuzuela kama hili hata CCM hawatalitaka. Kule unaapa kabisa kuwa ukitoka, hutatoa siri yeyote ya CHAMA.
 
Pumzi imekata mkuu, inamaana umasikini, ujinga na maradhi vimeshawashinda, na ndo maana wakaamua kupambana na upinzani.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
Wangefuta umasikini na upinzani ungefutika automatically.
Ukisema ufute upinzani utoweza Hali umasikini upo pale pale
 
Huku ndipo alipotoka lijua likali, ikiwa bado miaka kati ya miwili uchaguzi mkuu ufanyike diwani wa kata ya ifakara mjini akafaliki ambae, itabidi ufabyike uchaguzi mdogo wa madiwani ambapo chadema ikamuweka mgombe wao lijua likali ambae kwa kipindi hicho alikuwa mtunza dawa pale hospitaliti ya ifakara,ccm wali walimsimamisha mgombea ambae tayali aliwa kuwa diwani ktk mji ule kwa jina nimemsahau na chama cha wanainch cuf walimuweka mgombea wao tunu ubala msalike, ktk uchaguzi huo chadema wakapita na mgombea wao lijua likali, baaada ya miaka kadhaa muda ukawa umefika uchaguzi mkuu ndio lijua likali akagombea tena kupitia tiketi ya chadema ila kwa sasa aligombea ubunge na ndio akapita kiufupi lijua likali ndio mbunge wa kwanza kuiyongoza kilombero kwa tiketi ya chama pinzani,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lijuakali - Akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai

Lijuakali - Akana kusema kuwa CHADEMA waliiba kura 2015 (Mada iliyoandikwa JamiiForums)

Lijuakali - Akana maneno ya Lissu kuwa hakumlipa hela, adai alimlipa milioni 20

Lijuakali - Amsifia Lissu anapokuwa anafanya kazi zake za uwakili

Lijuakali - Hata kama CCM wakimkataa, hatarudi CHADEMA

Lijuakali - Akizungumzia alichosema Bulaya kuhusu yeye kuwa aweke akiba ya maneno, auliza kuwa Bulaya anaogopa nini Lijuakali asiseme anachojua

Lijuakali - Kuhusu ripoti ya CAG: CHADEMA kilimkopesha sehemu ya ruzuku Mbunge akanunue gari, baada ya gari kununuliwa gari hilo likawa linatumiwa na chama , kwahiyo mbuge alipewa pesa na chama ili anunue gari ili chama kikwepe kodi

Lijuakali - CHADEMA waliwafuata kuwa chama kinataka kununua magari ila hakina hela, kwahiyo chama kikawaomba wabunge ambao hawajatumia exemptions zao kutumia exemptions hizo kununua magari ya chama ili kukwepe kulipa kodi

Unajitahidi kunyea Kambi!Siamini kama haya yote yalikuwa yakitokea wakati Naye akiwa kiongozi,ukakaa kimya had I ulipotimuliwa?Tukuamini?
 
Bila lijualikali huenda mpaka sasa chadema isingepata jimbo la kilombero Tulimchagua lijualikali sio kwasababu ya chama chake ni kwa sababu ya kujitoa kwake kabla hata hajawa diwani wa ifakara alikuwa anaushawish mkubwa ndani ya ifakara...Had chadema inachukua jimbo la kilombero lijua ameteseka sana so yupo sahihi kusema yeye na chadema wametoana mbali

Kuing'oa ccm kwenye jimbo waliloweka mizizi sio mchezo...Nakuahakikishia Chadema bila lijualikali isahau jimbo la kilombero Kwa sasa
Kwa hiyo atarudi hapo kwa ticket ya ccm siyo
Ccm watampitisha

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Kilichonishangaza zaidi ni kukatwa fedha huku akiwa Jela kweli CHADEMA Ni shida
 
Kuna jambo linanitatiza kwenye maelezo yako, mh. Mbunge! Hapo kwamba hata kama ccm wangemsimamisha Mbowe angempiga!! Naona kama uhalisia wake ni mgumu, labda angetaja mwenyekiti wa ccm taifa, kidogo ingekua rahisi kuoanisha hoja na uhalisia! Alafu sijui inawezekanaje ufungwe na ccm, utetewe na CDM, alafu lawama ziende CDM!!?? Labda ni mimi nakua mgumu kumwelewa mbunge akili kubwa zaidi, sorry!
 
Kilichonishangaza zaidi ni kukatwa fedha huku akiwa Jela kweli CHADEMA Ni shida
Hujashangaa kwamba akiwa jela mshaara wake bado unaingia?! Fedha aliyokatwa ni ndani ya mkataba wa kila akilipwa laki 5 ni ya chama! Kwa uungwana, kabla ya kwenda ccm alipe mchango wa mwezi huu!
 
Kuna jambo linanitatiza kwenye maelezo yako, mh. Mbunge! Hapo kwamba hata kama ccm wangemsimamisha Mbowe angempiga!! Naona kama uhalisia wake ni mgumu, labda angetaja mwenyekiti wa ccm taifa, kidogo ingekua rahisi kuoanisha hoja na uhalisia! Alafu sijui inawezekanaje ufungwe na ccm, utetewe na CDM, alafu lawama ziende CDM!!?? Labda ni mimi nakua mgumu kumwelewa mbunge akili kubwa zaidi, sorry!
KWELI inakuwa kumwelewa

Ila nakushauri rudia kusoma tena huenda ukamwelewa

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom