VAPS
JF-Expert Member
- Jul 10, 2012
- 5,610
- 13,160
Nimemsikiliza hana hoja credible, kumbe CDM wapo vizuri sana kufuata taratibu zao vikao." Baraza kuu lilikasimu halmashauri kuu ya chama kufanya mabadiliko bajeti..." Lijuakali, pia upande wa gari ununuzi ile ni tax avoidance inakubalika unatumia mianya ya kisheria kukwepa kodi, mbunge na chama wanafungamana, kinyume chake kama lingeuzwa kwa ujanja mitaani matumizi binafsi angekuwa na hoja pangekuwa na jinai na uhujumu uchumi.Hongereni sana CDM msiogope wanazidi kuwapa promo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app