Mbunge Lijualikali atoa siri za CHADEMA; akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai

Mtagombana na kila mtu na kila taasisi
Hiyo Lijua ameikuta Chadema tayari ipo, yeye kwa utashi wake akaamua kujiunga Chadema akiamini ataongeza nafasi zake kushinda, ukumbuke wakati anajiunga CDM, chama hiki kilikuwa tayari kimeshaota mizizi nchini, kwahiyo akachagua ambacho tayari kinafahamika kilichokwisha jengwa na wengine, kwanini hakwenda kugombea TLP kama kweli anafahamika huko jimboni?

Una habari juzi alisema alibebwa na mkurugenzi 2015?, hakushinda kwa nguvu zake kama unavyodhani.

Ok, tufanye alikosea kidogo; naamini hii ni nafasi yake kurekebisha mambo, sasa atoke CCM aliposema anaenda kuwa mfagizi, ambacho kimsingi tayari ni chama imara, aanzishe chama chake akiweza, au aende Chaumma, then agombee ubunge halafu mumchague ashinde.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hivo anavoongea kihuni na kishamba akamuongelee mwenyekiti wa ccm km hajapotezwa na wasiojulikana.....
Awaulize kilicbowakuta kinana makamba nape membe mangula....... Kule ni kushoto kulia geuka ukipanua limdomo lako umekwisha...
Mbwa kabisa jamaa
Wahuni ni wale waliomtapeli ubunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni msimu wa mavuno chadema inakufa
Naiman Kuna Wabunge wengine wengi Kama yeye wanasubir Bunge livunjwe watu waanze kutawanyika chadema inaenda kufa kwa Mambo mawili moja huenda kweli mbowe ndio tatizo au ni mipango na watu wamesha ahidiwa kuwa hawato poteza kitu hata wakitoka chadema

Mbowe angekua na akil angejiuzulu tu Mana yeye ndie kirus kwenye chama

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtu ana uelewa mdogo sana, kazungumzia mengi, kawataja kina Msigwa na wengine watajibu wenyewe.

Hapa niongelee hili la yeye kuipinga hoja ya Chadema imemtoa mbali, anadai yeye na Chadema wote wametoana mbali, anasahau wakati Chadema imeanza harakati, yeye alikuwa hafahamiki popote na yeyote.

Nimuulize tu; kwanini aliamua kugombea ubunge wa jimbo lake kupitia Chadema na kuviacha vyama vingine vya upinzani?

Kama kweli anajiona yeye na Chadema ni nguvu sawa, kwanini asingegombea ubunge wa jimbo lake kupitia TLP au NCCR?

Na kama anajiamini ana nguvu, kwanini sasa hivi amekimbilia CCM akawe hata mfagizi, kwanini asiende kufagia TLP au Chaumma?!

Utaona wazi tu hapa kwamba, huyu jamaa anapenda kujitutumua, ila kwa kifupi ni mtu asie na shukrani, na asiejiamini, anajiona mwenye nguvu, ila anapenda kujiegemeza kwa ambavyo vimeshajengwa tayari na kusimama.

Kama kweli ana nguvu anazojinasibu anazo, atoke, aanzishe chama chake, halafu agombee ubunge tumuone.

Katika hoja zake na tuhuma dhidi ya uongozi wa CHADEMA umeona hiyo ya kubebwa ndiyo yenye nguvu kiasi cha kumrushia dongo la dhihaka? Du, hoja nzito majibu mepesi.

Ni dhahiri unajinasibu kwa mtuhumiwa na kwamba nguvu ya CHADEMA iko kwa mtu na siyi wanachama.
 
Huyu mtu ana uelewa mdogo sana, kazungumzia mengi, kawataja kina Msigwa na wengine watajibu wenyewe.

Hapa niongelee hili la yeye kuipinga hoja ya Chadema imemtoa mbali, anadai yeye na Chadema wote wametoana mbali, anasahau wakati Chadema imeanza harakati, yeye alikuwa hafahamiki popote na yeyote.

Nimuulize tu; kwanini aliamua kugombea ubunge wa jimbo lake kupitia Chadema na kuviacha vyama vingine vya upinzani?

Kama kweli anajiona yeye na Chadema ni nguvu sawa, kwanini asingegombea ubunge wa jimbo lake kupitia TLP au NCCR?

Na kama anajiamini ana nguvu, kwanini sasa hivi amekimbilia CCM akawe hata mfagizi, kwanini asiende kufagia TLP au Chaumma?!

Utaona wazi tu hapa kwamba, huyu jamaa anapenda kujitutumua, ila kwa kifupi ni mtu asie na shukrani, na asiejiamini, anajiona mwenye nguvu, ila anapenda kujiegemeza kwa ambavyo vimeshajengwa tayari na kusimama.

Kama kweli ana nguvu anazojinasibu anazo, atoke, aanzishe chama chake, halafu agombee ubunge tumuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa ameongea mengi sana yenye kutaka majibu,yani hili wewe ndio umeona la muhimu sana kuliko mengine yenye hoja nzito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtu ana uelewa mdogo sana, kazungumzia mengi, kawataja kina Msigwa na wengine watajibu wenyewe.

Hapa niongelee hili la yeye kuipinga hoja ya Chadema imemtoa mbali, anadai yeye na Chadema wote wametoana mbali, anasahau wakati Chadema imeanza harakati, yeye alikuwa hafahamiki popote na yeyote.

Nimuulize tu; kwanini aliamua kugombea ubunge wa jimbo lake kupitia Chadema na kuviacha vyama vingine vya upinzani?

Kama kweli anajiona yeye na Chadema ni nguvu sawa, kwanini asingegombea ubunge wa jimbo lake kupitia TLP au NCCR?

Na kama anajiamini ana nguvu, kwanini sasa hivi amekimbilia CCM akawe hata mfagizi, kwanini asiende kufagia TLP au Chaumma?!

Utaona wazi tu hapa kwamba, huyu jamaa anapenda kujitutumua, ila kwa kifupi ni mtu asie na shukrani, na asiejiamini, anajiona mwenye nguvu, ila anapenda kujiegemeza kwa ambavyo vimeshajengwa tayari na kusimama.

Kama kweli ana nguvu anazojinasibu anazo, atoke, aanzishe chama chake, halafu agombee ubunge tumuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwenzetu amechanganyikiwa!
 
Mtu pekee! Duuh, ndio maana kuna watu huwa wanashawishi viongozi wa siasa kujiongezea muda ulio kinyume na katiba zao!
Yes mtu pekee katika historia ya Chadema aliediriki kuhoji wazi wazi. Maana hata kina Zitto enzi zile walikuwa pro Mbowe na walimponda sana Chacha Wangwe ilhali alikuwa anaongea ukweli ambao ungeifanya Chadema kuwa chama cha kweli chenye sura ya kitaifa. Aliwataka wajenge chama from bottom to the top. Wao wanakijenga from top ndo maana hakuna nguzo wala misingi imara.
 
Back
Top Bottom