Mbunge Lijualikali atoa siri za CHADEMA; akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai

Sasa hivo anavoongea kihuni na kishamba akamuongelee mwenyekiti wa ccm km hajapotezwa na wasiojulikana.....
Awaulize kilicbowakuta kinana makamba nape membe mangula....... Kule ni kushoto kulia geuka ukipanua limdomo lako umekwisha...
Mbwa kabisa jamaa
 
Kila udhaifu wa CHADEMA ni Point ya ushindi kwa chama tawala. Hili lipo wazi.

Mpaka sasa wasemaji wote wanaoisakama CHADEMA kwa matumizi mabaya ya fedha bado hatujawaamini kwa 100%, bali wametikisa msimamo wetu.

Hivyo ni nafasi pekee kwa kiongozi mkuu mwenyewe kufanya press conferens na kujibu tuhuma, kwani nyingi zimeelekezwa kwake.
 
Watu tunaamini mtu ukifikia level ya kutungua sheria yaani Mbunge basi unakomaa kifikra na kimtizamo kumbe utoto mtupu..

Wengine wanasema wanabakwa sijui anatomaswa maziwa..yaani mama mtu mzima kabisa unatunga sheria...unashikwa shikwa maziwa unatakaa miaka 5 kimya useless..useless!!

Sisi tunahangaika na hawa vipepeo wetu under 18, ala kumbe kuna mijipepeo mizee mijinga kabisa...

Hii ni aibu kubwa saana...aibu
Hakuwa na sababu ya kuichafua CHADEMA angesema nimeamua kuunga juhudi kutokana na kasi ya maendeleo yanayofanywa na awamu hii.
Kusema njaa tunakosea ,ukosefu wa hekima,Busara unahusika.
+utoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Useless person, una akili kama jamaa yako ambaye hajukikani kama ni kijana ama mzee, hivi wewe unaweza kumnyanyasa kingono mtunga sheria za nchi...kweli ...una akili wewe?

Yaani anakutunga sheria na sheria anaijua kabisa sasa wewe zumbukuku ati umshikeshike maziwa yake bila bidhaa yake...mavii...
Uko dunia gani wewe? Viti maalumu wenyewe wamelalamika
 
Naiman Kuna Wabunge wengine wengi Kama yeye wanasubir Bunge livunjwe watu waanze kutawanyika chadema inaenda kufa kwa Mambo mawili moja huenda kweli mbowe ndio tatizo au ni mipango na watu wamesha ahidiwa kuwa hawato poteza kitu hata wakitoka chadema

Mbowe angekua na akil angejiuzulu tu Mana yeye ndie kirus kwenye chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa utofauti wenu na ccm ni upi kama mnakwepa kodi hata mamlaka hamjachukua?

Sent using Jamii Forums mobile app
Niseme tu hapa sijadili kichama. Ila majaribu kuliwaza jambo kwa upana kidogo. Anayosema huyo mbunge yamethibitishwa na chombo kilichopo kisheria km takukuru au ofisi ya CAG. Lakini nikisema kulishatokea upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za mikataba mibovu tayar yalishathibitika. Hamna palipo salama ila kunazidiana
 
Nimesikiliza maelezo ya Juakali ametoa madai mengi mazito lakini nategemea baada ya tuhuma alizotia chadema watazijibu kwa hoja sio kwa jaziba pia nategemea waandishi wa habari za uchunguzi wazifanyie kazi tuhuma zilizotolewa
 
Huyu mtu ana uelewa mdogo sana, kazungumzia mengi, kawataja kina Msigwa na wengine watajibu wenyewe.

Hapa niongelee hili la yeye kuipinga hoja ya Chadema imemtoa mbali, anadai yeye na Chadema wote wametoana mbali, anasahau wakati Chadema imeanza harakati, yeye alikuwa hafahamiki popote na yeyote.

Nimuulize tu; kwanini aliamua kugombea ubunge wa jimbo lake kupitia Chadema na kuviacha vyama vingine vya upinzani?

Kama kweli anajiona yeye na Chadema ni nguvu sawa, kwanini asingegombea ubunge wa jimbo lake kupitia TLP au NCCR?

Na kama anajiamini ana nguvu, kwanini sasa hivi amekimbilia CCM akawe hata mfagizi, kwanini asiende kufagia TLP au Chaumma?!

Utaona wazi tu hapa kwamba, huyu jamaa anapenda kujitutumua, ila kwa kifupi ni mtu asie na shukrani, na asiejiamini, anajiona mwenye nguvu, ila anapenda kujiegemeza kwa ambavyo vimeshajengwa tayari na kusimama.

Kama kweli ana nguvu anazojinasibu anazo, atoke, aanzishe chama chake, halafu agombee ubunge tumuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daa kwa kweli mkuu nimemwangalia lijuakali anfikirisha sana amekosa weredi sana huyu bwana mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lijuakali - Akana kumuoa mtoto wa Spika Ndugai

Lijuakali - Akana kusema kuwa CHADEMA waliiba kura 2015 (Mada iliyoandikwa JamiiForums)

Lijuakali - Akana maneno ya Lissu kuwa hakumlipa hela, adai alimlipa milioni 20

Lijuakali - Amsifia Lissu anapokuwa anafanya kazi zake za uwakili

Lijuakali - Hata kama CCM wakimkataa, hatarudi CHADEMA

Lijuakali - Akizungumzia alichosema Bulaya kuhusu yeye kuwa aweke akiba ya maneno, auliza kuwa Bulaya anaogopa nini Lijuakali asiseme anachojua

Lijuakali - Kuhusu ripoti ya CAG: CHADEMA kilimkopesha sehemu ya ruzuku Mbunge akanunue gari, baada ya gari kununuliwa gari hilo likawa linatumiwa na chama , kwahiyo mbuge alipewa pesa na chama ili anunue gari ili chama kikwepe kodi

Lijuakali - CHADEMA waliwafuata kuwa chama kinataka kununua magari ila hakina hela, kwahiyo chama kikawaomba wabunge ambao hawajatumia exemptions zao kutumia exemptions hizo kununua magari ya chama ili kukwepe kulipa kodi

Ninajaribu kujiuliza sana, yani mfano wake wa Mandela na kusamehe.. Sasa inakuaje rahisi sana kusamehe watu ambao walimfunga na kumtesa na kumbambikizia kesi miaka yote hiyo, halafu asisamehe hawa ambao wamepishana tu mawazo? Hayo mambo ya mwenyekiti na kuteua katibu mkuu then wakurugenzi mbona ni kama kila chama kina fanya hivyo? Kama chama anajua kinategemea nguvu ya wanachapa kukijenga analalamika nini? Na hizo hela za uchaguzi anazo lalamikia, mbona uchaguzi haujafika bado? Pia, si angeweza tu kusubiri muda wake wa ubunge uishe na aombe tu kazi yoyote, kwa hizi wiki zilizobakia kulikua na haja gani ya kujipa haya mausumbufu yote? Hizo wiki 2 wenzake walio toka zina mabadiliko yoyote ya maana katika kuwawakilisha wananchi wake, tofauti na wenzake walio toka? Nna maswali meengi ningetamani kumuuliza kama ningekua mwana habari mmoja wapo.. Lakini itoshe kwa haya baadhi
 
Watu tunaamini mtu ukifikia level ya kutungua sheria yaani Mbunge basi unakomaa kifikra na kimtizamo kumbe utoto mtupu..

Wengine wanasema wanabakwa sijui anatomaswa maziwa..yaani mama mtu mzima kabisa unatunga sheria...unashikwa shikwa maziwa unatakaa miaka 5 kimya useless..useless!!

Sisi tunahangaika na hawa vipepeo wetu under 18, ala kumbe kuna mijipepeo mizee mijinga kabisa...

Hii ni aibu kubwa saana...aibu
Mkuu 'FUSO'

Sijui niandike nini hapa kuweka mkazo kwenye maneno yako haya.

Lakini..., hiyo ndiyo sehemu kubwa ya jamii yetu.

Tupo hivyo. Wewe hata humu JF tu huwezi kuona akili za aina hiyo mkuu?

Na ndio maana wengi wetu tunawapenda sana CCM, na CCM kutupenda sana na kuhimiza tubaki hivyo hivyo ili watawale milele!
 
Ninajaribu kujiuliza sana, yani mfano wake wa Mandela na kusamehe.. Sasa inakuaje rahisi sana kusamehe watu ambao walimfunga na kumtesa na kumbambikizia kesi miaka yote hiyo, halafu asisamehe hawa ambao wamepishana tu mawazo? Hayo mambo ya mwenyekiti na kuteua katibu mkuu then wakurugenzi mbona ni kama kila chama kina fanya hivyo? Kama chama anajua kinategemea nguvu ya wanachapa kukijenga analalamika nini? Na hizo hela za uchaguzi anazo lalamikia, mbona uchaguzi haujafika bado? Pia, si angeweza tu kusubiri muda wake wa ubunge uishe na aombe tu kazi yoyote, kwa hizi wiki zilizobakia kulikua na haja gani ya kujipa haya mausumbufu yote? Hizo wiki 2 wenzake walio toka zina mabadiliko yoyote ya maana katika kuwawakilisha wananchi wake, tofauti na wenzake walio toka? Nna maswali meengi ningetamani kumuuliza kama ningekua mwana habari mmoja wapo.. Lakini itoshe kwa haya baadhi
Inawezekana (nasema inawezekana, kwa sababu ya 'pattern' ya mambo yanavyojitokeza); ukawa ni MKAKATI!

Hawa wabunge wanaomaliza muda wao wamepewa jukumu la kufanya hii kazi wakati huu?

Huoni 'pattern' inavyojirudiarudia kwa kila mmoja wao?

Alianza Mwita...
 
Huyu mtu ana uelewa mdogo sana, kazungumzia mengi, kawataja kina Msigwa na wengine watajibu wenyewe.

Hapa niongelee hili la yeye kuipinga hoja ya Chadema imemtoa mbali, anadai yeye na Chadema wote wametoana mbali, anasahau wakati Chadema imeanza harakati, yeye alikuwa hafahamiki popote na yeyote.

Nimuulize tu; kwanini aliamua kugombea ubunge wa jimbo lake kupitia Chadema na kuviacha vyama vingine vya upinzani?

Kama kweli anajiona yeye na Chadema ni nguvu sawa, kwanini asingegombea ubunge wa jimbo lake kupitia TLP au NCCR?

Na kama anajiamini ana nguvu, kwanini sasa hivi amekimbilia CCM akawe hata mfagizi, kwanini asiende kufagia TLP au Chaumma?!

Utaona wazi tu hapa kwamba, huyu jamaa anapenda kujitutumua, ila kwa kifupi ni mtu asie na shukrani, na asiejiamini, anajiona mwenye nguvu, ila anapenda kujiegemeza kwa ambavyo vimeshajengwa tayari na kusimama.

Kama kweli ana nguvu anazojinasibu anazo, atoke, aanzishe chama chake, halafu agombee ubunge tumuone.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema yenyewe haina shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kapewa kazi kusambaza propaganda ili apewe ubunge kupitia CCM.Wacha tuone mwisho wake.
 
Back
Top Bottom