Mbunge lema ametutosa

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
815
Aisee Lema mbona umetutosa washikaji zako hapa Arusha? Yani baana ya kula shavu tu ndo basi.
Kumbuka 2015 siyo mbali.
 
Bado ajawatosa anajipanga muda unaenda na zile ahadi zake za kujenga Machinga Complex mbili na "Skyover" ndio anatafuta pesa!
 
Aisee Lema mbona umetutosa washikaji zako hapa Arusha? Yani baana ya kula shavu tu ndo basi.
Kumbuka 2015 siyo mbali.
Amekutosa nini sasa! Mbona huna point, ulitaka akupe pesa kila mkikutana! Vijana wengine hopeless kabisa, kwa hiyo unamtisha Lema?
 
Bado ajawatosa anajipanga muda unaenda na zile ahadi zake za kujenga Machinga Complex mbili na "Skyover" ndio anatafuta pesa!

mkuu pumzika maana usiku huu wote elf 2 tu itakutoa roho
 
Bado ajawatosa anajipanga muda unaenda na zile ahadi zake za kujenga Machinga Complex mbili na "Skyover" ndio anatafuta pesa!
Jk pia anatafuta pesa kama Lema, manake nae pia katutosa...
 
Aisee Lema mbona umetutosa washikaji zako hapa Arusha? Yani baana ya kula shavu tu ndo basi.
Kumbuka 2015 siyo mbali.
Unataka akupe nini?CDM hawatoi tshirt,kofia wala mahindi..kama unahitaji hivyo hamia Magamba,cku nyngne usiandike upupu hapa
 
Aisee Lema mbona umetutosa washikaji zako hapa Arusha? Yani baana ya kula shavu tu ndo basi.
Kumbuka 2015 siyo mbali.

Kama ni wewe ndo umetoswa ni sahihi kabisa. Ulitegemea ubwabwa kama magamba wanavyowaandalia sasa umeukosa ndo unalalamika.
 
Mods upupu kama huu unadhalilisha hii forum.

Acha kulialia kwa Mods, kama una cha kuchangia kaa pembeni tuachie wapenda amani tuchangia.
Wewe unataka kila thread ukufarahishe wewe? Fungua forum yako uweke sheria kuwa hii ni Forum ya Magwanda tu.
JF sio ya CDM kijana jenga hoja usilete vioja
 
Unataka akupe nini?CDM hawatoi tshirt,kofia wala mahindi..kama unahitaji hivyo hamia Magamba,cku nyngne usiandike upupu hapa
Nyumba haichomwi kwa maji ya moto, mikwara mingi kama nyapara anampiga mfungwa ili amalize ngwe yake!
 
Watu wengine bwana .Ujinga kila mahali inakuwaje mtu unaandika tu kama mkono wa mjinga .
 
Lema ndio nani??? Hv chadema ya nani mi naona wachagga ndio wengi...na ahadi za wapinzani watatekeleza vipi na serikali ni ya ccm...
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom