Mbunge kwera rukwa hajawahi ona shule kama iliyopo jimboni kwake!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Wana jf nimeiona shule ya mnazi mmoja-kichangani sumbawanga ktk tbc1 habari,kama kweli jk ni rais wa tanzania naomba aende huko rukwa akajionee kama kuna sababu ya kusherehekea miaka 50 ya uhuru ikiwa kuna shule za nyasi full suit,dawati ni miti,ubao ni bati duu mpaka mbunge wa jimbo la kwera kapagawa!
 
Hili jamaa j.i.n.g.a kweli yaani jimbo lake alafu anasema hajawi kuona shule kama hiyo.!Sasa anawawakirisha watu gani kama hajui hali halisi ya jimbo lake. PRIMITIVE TANZANIA hey day period or darkness.
 
halafu mibunge ya Magamba inataka kuongezewa posho na mishahara, wakati hata halisi ya jimbo lake haijui.
 
alafu lawama zote kapakuliwa diwani.....eti'diwani unafanya nini..?hakuna haja ya kuwa na diwani....'
 
Huyo mbunge anashangaza kweli ni kama baba kutomtambua mtoto wa kuzaa mwenyewe,anasema hajawahi kuona shule kama hiyo maishani wakati iko jimboni kwake? ndo matokeo ya wabunge rushwa hawajui hata mazingira ya majimbo yao,so sad
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom